Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 550
Ni sawa na kusema aliyesoma Chemistry ya O-level anafanana na Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Chuo Kikuu. Atajiita Mkemia. Ni ujinga tu na uelewa wa ki clinical officer kufananisha basic clinical medicine ya CO na MD. Hivi ninyi mna shida gani? Najua clinical officers wengi walienda kusoma hiyo course wakidhani watakuwa madaktari, ila baada ya kufika huko wanashangaa hawajafikia level hiyo. Sasa huwa mnataka kulazimisha.
Yaan nyie mnaojiita madaktar ndio mliofanya figisu hadi degree ya clinical Officer ikafutwa Tanzania nyie....chuki tuu zimewajaa