Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

WEWE UNAONEKANA NI MFAMASIA AMBAYE HAPENDI KUONA MA CO KUITWA MADAKTARI ..TOFAUTI KUBWA YA MD/NA CO NI KATIKA KUINGIA DEEP KWENYE KUSOME , ,MD WANASOMA DEEP ZAIDI KULIKO CO ILA VITU NI VILE VILE NDIO MAANA WOTE NI MADAKTARI TOFAUTI NI LEVEL ZA ELIMU
Sasa Kama deep si nao wafanye wanayofanya MD, KIUFUPI HAWALINGANI MSILAZIMISHE
 
Mkuu sote humu tunakubali humu kwamba MD lazima kuna mambo ya ziada anayajua kuliko C0.

Lakini katika dhima lao ni moja,wote watafanya kumsikiliza mgonjwa,watafanya diagnosis na watakuandikia dawa utaenda pharmacy kuchukua.

MD na CO katika hospitali hizo ni katika kazi zao huwezi kuwatofautisha katika yale wanayoyafanya pamoja.

Udaktari una diploma na degree,kama zilivyo kozi zingine za ualimu n.k

Huwezi kuniambia mwalimu wa diploma anayefundisha tusimuite mwalimu eti kwa kuwa bado ana diploma wakati anafanya kazi ile ile ya kuwafundisha wanafunzi.

Hhivyo mwalimu wa diploma na wa degree wanaofundisha shuleni wote wapo katika dhima moja ya kufundisha wanafunzi.

Watatofautiana maarifa tu lakini wadhifa wao ni mmoja katika jamii.
Ni sawa Ila clinical officer sio medical Doctor ....
 
Kuna kazi CO hawezi fanya isipokuwa MD mfano upasuaji na nyinginezo.
Wanatofautiana katika viwango kutokana na ngazi ya kimasomo kama ilivyo kwa Mwalimu wa shule ya msingi ambae aliishia elimu ya kufundisha shule ya msingi na Mwalimu wa sekondari au high school.
MD hafanyi upasuaj, anaefanya ni hawa wa MBBS
 
Kuna kazi CO hawezi fanya isipokuwa MD mfano upasuaji na nyinginezo.
Wanatofautiana katika viwango kutokana na ngazi ya kimasomo kama ilivyo kwa Mwalimu wa shule ya msingi ambae aliishia elimu ya kufundisha shule ya msingi na Mwalimu wa sekondari au high school.
Huo utofauti ni kwa sababu ya level ya elimu.

Lakini kazi yao ni moja tu wote
 
Nimepewa taarifa kua matokea yamefutwa , hivyo wanafunzi wote wanapaswa kurudia mitihan yao kuanzia cat one mpaka cat two then ndo watafanya nacte
Mambo ya nacte ya nini acha watu wafanye mitihani kwenye vyuo husika
 
Unafaham siku hz vituo vya afya wanafanya haya? Mkuu, jitahd kua updated kidogo

Na mtu aliesoma CO before 2018 sio sawa na hawa wa post 2018 , vituo vya afya vimewezeshwa sana mkuu , kuna baadhi ya vitu ilikua n lazima ufanyie hospital za wilaya+ saiv kwenye vituo vya afya unafanya , mambo yanabadilika , kituo cha afya saiv unaweza dhan n hospital ya wilaya
Kuhusu vituo vya Afya kujengewa uwezo nalifahamu vizuri, ila kumbuka kituo cha afya kuna MD achilia mbali AMO ambao wanaishia baada ya kufutwa, swali la msingi hizo caesarean section wanafanya ma C.O kwa level ya vituo vya afya, jibu ni no wanafanya MDs na AMOs (wakiwepo), so suala sio ku-upgrade kituo cha afya ila elimu ya C.O bado sana kupiga procedure kubwa kama C/S.
 
Shida ni digrii miaka mi5 ndio kinawatesa watu..na kujiona superior..wakati kazi ni zile zile..utadhani co kazi yake ni kuua watu.

#MaendeleoHayanaChama
Sasa we mwenyewe si unaona tofauti tu ya miaka huyu miaka 3 mwingine 5, unadhani kutakua hakuna utifauti,

Kuna tofauti kubwa kati ya MD na C.O, tukianzia tu kwenye basic science ..C.O syllabus yake ndogo sana, mfano C.O hasomi biochemistry, yaan ukikuta hajapitia advance yaan hata Krebs cycle haijui.. so ukimlinganisha na MD kwenye reasoning anamuacha mbali dana
 
Wivu tu..si anatibu na dakitari anatibu sasa tofauti ni nini..?

#MaendeleoHayanaChama
CO ni Tabibu sio daktari.

Kumbuka udaktari unapatikana baada ya kusoma pHD ila kwa wanaosoma degree ya kutibu tuu ndio wamepewa the only priviledge in the world ya kutambulika kama madaktari bila hata kusoma masters.

Hivyo wapewe heshima yao.

CO sio daktari.
 
Mkuu sote humu tunakubali humu kwamba MD lazima kuna mambo ya ziada anayajua kuliko C0.

Lakini katika dhima lao ni moja,wote watafanya kumsikiliza mgonjwa,watafanya diagnosis na watakuandikia dawa utaenda pharmacy kuchukua.

MD na CO katika hospitali hizo ni katika kazi zao huwezi kuwatofautisha katika yale wanayoyafanya pamoja.

Udaktari una diploma na degree,kama zilivyo kozi zingine za ualimu n.k

Huwezi kuniambia mwalimu wa diploma anayefundisha tusimuite mwalimu eti kwa kuwa bado ana diploma wakati anafanya kazi ile ile ya kuwafundisha wanafunzi.

Hhivyo mwalimu wa diploma na wa degree wanaofundisha shuleni wote wapo katika dhima moja ya kufundisha wanafunzi.

Watatofautiana maarifa tu lakini wadhifa wao ni mmoja katika jamii.
Hata sijakuelewa, unaongelea dhima au unaongelea maarifa??

Sasa kama MD kamzidi CO maarifa watakuaje sawa kiutendaji kisa eti dhima ni sawa?!!

Kwa maana hiyo ni sawa na kusema clinical assistant (certificate ya clinical medicine) ni sawa na specialist kisa dhima ni sawa ila maarifa ni tofauti!
 
Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.

#MaendeleoHayanaChama
Ulishaona wapi mtu aliyesoma bachelor akawa daktari?
 
Na mshahara ni mmoja etii???[emoji23]
Hiyo unasema wewe.

Best naso na diamond wote wasanii ila mmoja ana mkwanja mrefu mwingine no.

Tofauti yao ya kipesa haimaanishi wapo katika career tofauti.

BTW sioni faida ya mijadala hii kwa sababu haimpunguzii chochote daktari,na wala haimpunguzii chochote CO.
 
Mkae mkijua hiyo mitihani wanaotunga ni watu na hao watu wanaishi na watoto ,wao wajomba ,wajukuu, rafiki, rushwa pia
 
Hata sijakuelewa, unaongelea dhima au unaongelea maarifa??
Mwalimu wa shule ya msingi wa diploma ana dhima sawa(kufundisha)na mwalimu wa shule ya sekondari mwenye degree ana dhima ile ile ya kufundisha wanafunzi japokuwa maarifa yametofautiana.

Unakubali unakataa ?
Sasa kama MD kamzidi CO maarifa watakuaje sawa kiutendaji kisa eti dhima ni sawa?!!
Kwani mwimu wa chuo kikuu na mwalimu wa shule ya msingi si wanatambika kama wpte ni waalimu japokuwa level zao za elimu tofauti ?
 
Oi MD na iheshimiwe na watu wote
CO ni mwanafunzi wa MD
CO kuwa MD anahitaji miaka mingine Sita ya kuwa darasani...

Halaafu tunaona tu vijana wanavyojilimit kielimu kwa kukimbilia Hii diploma ya medicine... wakitaka shortcut... mbeleni unapokua umechoka sana wataona ilivyo ngumu kuwa Daktari na GPA from CO to MD student itakavyoliza wengi.
Wajiandae kuwa chronic slaves mbeleni...

At the top there is more freedom

MD ni mtu mwenye uelewa mpana wa kada ya udaktari ( theory +practice)

CO ni wasaidizi tuu
Vivyo hivyo AMO Siyo Daktari na AMO yupo juu ya CO.
AMO anahitaji miaka sita kuwa Daktari
Hakuna shortcut ya kuwa MD.
 
Back
Top Bottom