enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Unatoa maelezo ya kueleweka ila naona ma CO wanakaza shingo.Ni sawa na kusema bruda aitwe padre kwa sababu anachapa kazi vizuri. Au mchanganya zege aitwe engineer kwa sababu anachapa kazi sana. Wengi wanaomfananisha CO na MD, mara nyingi ni CO wenyewe kwa sababu hawajui MD kasoma nini.
Mada ilikuwa kufutwa kwa matokeo lakini hoja zilizojadiliwa ni Nani ni Nani Kati ya afisa tabibu na daktari dah! Nchi ngumu hii hatari...
Hatari na nusu[emoji38][emoji38][emoji38]....mada imerukwa kabisaa
Mitihani haijavujishwa na vyuo kwakuwa kwa level 5&6 mitihani na marking scheme hailetwi vyuoni isipokuwa level 4.Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo kilichovujisha mitihani itakuwa poa sana na kukifungia kabisaa!
Drsn kuna wanao elewa mwalimu na wasio elewa! ni kawaida!!!..... si unaona MD wanaelewa somo hakuna wa kujibu hii!! inajitosheleza......unaelewa unachoandika lakini ? mi sikuelewi bwana mganga
Mimi ni mhenga. Tukiwa pale KHS mwenzetu mmoja alitaka kuhifadhi kile kitabu cha Biology kilichoandikwa na Vines and Reeds. Matokeo yake akili zilifyatuka akawa chizi kabisa. Hili ni kweli tupu na Mungu anisaidie.Hii kada ilikuwa inaheshimika sana zamani lakini siku hizi magumashi anajipenyeza kabisa na kumaliza tena MD kabisa wakati zamani ukisoma PCB tu usipokaa vizuri unakuwa mwehu.
Mkate volume 1 and two sii mchezo. Siku hizi vijana wa madesa na biological science, too simplified wanaenda muhimbili na wanatoboa😀😀😀Mimi ni mhenga. Tukiwa pale KHS mwenzetu mmoja alitaka kuhifadhi kile kitabu cha Biology kilichoandikwa na Vines and Reeds. Matokeo yake akili zilifyatuka akawa chizi kabisa. Hili ni kweli tupu na Mungu anisaidie.
You killed itMD=general practitioner...hana tofaut na CO ..GP kaz yake kuandika referral kwenda kwa specialist.... kama MD unataka respect au kucompete na CO au kujifanya bora... kasome specialization...Over
You kill it
Basi ndo hivi hivi walikuwaga wanafanya kuuza watumwa!!! ukionekana unaakili sana kwenye Milki ya mfalme wanakupangia kukukamata ukauzwee!!Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Jamani hivi kwani mchawi hana uelewa wa mambo au wakurupuka weye kijana??.... hapa tunajadili muundo wa co MD!! Acha chuki za kichwi hizo!nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
View attachment 1996262View attachment 1996263View attachment 1996264View attachment 1996265View attachment 1996266