Matokeo ya Costal Union hamjayaona?

Kwa Sasa team zinapewa hela na caf ya ushiriki almost 100 ml nadhani inasaidia gharama
Coastal tangu pre season wako hoi sana huenda wamepoteza hali ya ushindani
 

Game ya JKU na Pyramid inachezewa wapi?
Waarabu
 
Wana bahati walikutana na timu ya hovyo bila hivyo jana wangepigwa kama 8 hivii
 
Kwa kweli hovyo kabisa, yaani legelege kama mkojo wa kuku.
 
Naangalia hapa mechi ya KEN GOLD SPORT vs SINGIDA BIG STARS

yaan TIMU ZOTE HAZINA UWEZO WA KUPIGA PASI 5 MFULULIZO

YAAN butua butua nyingi sanaa yaan kwa mtindo huu TIMU ZA KUTOA UPINZANI NA CHANGAMOTO HAZIFIKI 6 KWAKWELI
 
Hakuna pesa za CAF hatua za awali. Mashindano ni gharama ndio maana nchi zingine hazishiriki
 
Ukimya huu una maanisha nini??

Hakuna hata ushauri au mnasubiri SIMBA, YANGA na AZAM tu?
Sikushangaa kwanini azam alishinda 5 dhidi ya coastal na yeye akafungwa 4 na yanga coastal ya msimu huu ni mbovu na inashuka daraja watu wa coastal ni wapuuzi timu ikishafanya vizuri msimu mmoja majungu yanakuwa mengi na timu inashuka daraja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…