Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Imekuwa ngapi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigwa tatuWala hamsemi wamepigwa ngapi!!
Kwa Sasa team zinapewa hela na caf ya ushiriki almost 100 ml nadhani inasaidia gharamaBora watolewe mapema waje kucheza ligi ya NBC, Yale mashindano ni gharama Sana. Unaweza kupambana kushiriki mwisho wa siku yakakukuta ya Biashara United.
Team nyingi miaka ya hv karibu ni zinaamua kucheza uko uko mf hai Vitaloo Jana wakiwa chamazi(Uwanja wao wa nyumbani) wamepiga pesa ya kutosha maana kama kutolewa kuko pale pale.
Watabaki hapa hapa mpaka marudiano so zile pesa za madafu watatumia hvyo hvyo.
Team mbili kutoka Zanzibar nazo zimeamua kumalizana na wapinzani wao huko huko.
Pesa kutoka CAF zinakuja kwa kuchelewa Sana!!
Game ya JKU na Pyramid inachezewa wapi?Ukimya huu una maanisha nini??
Hakuna hata ushauri au mnasubiri SIMBA, YANGA na AZAM tu?
Halaf wakaishia wapi? Statisticaly simba ndio alimiliki moira na kushambulia zaidi japo goli alipata chache.Lakini waliwatoa kamasi mbumbumbu kwenye ngao ya jamii
Bora watolewe mapema waje kucheza ligi ya NBC, Yale mashindano ni gharama Sana. Unaweza kupambana kushiriki mwisho wa siku yakakukuta ya Biashara United.
Team nyingi miaka ya hv karibu ni zinaamua kucheza uko uko mf hai Vitaloo Jana wakiwa chamazi(Uwanja wao wa nyumbani) wamepiga pesa ya kutosha maana kama kutolewa kuko pale pale.
Watabaki hapa hapa mpaka marudiano so zile pesa za madafu watatumia hvyo hvyo.
Team mbili kutoka Zanzibar nazo zimeamua kumalizana na wapinzani wao huko huko.
Pesa kutoka CAF zinakuja kwa kuchelewa Sana!!
WaarabuGame ya JKU na Pyramid inachezewa wapi?
Walikutana wote wabovuHalaf wakaishia wapi? Statisticaly simba ndio alimiliki moira na kushambulia zaidi japo goli alipata chache.
Kwa kweli hovyo kabisa, yaani legelege kama mkojo wa kuku.Goli la kwanza Coast wamefungwa kipumbavu, beki kashindwa kumiliki mpira "ulio katika milki yake" na kipa wake anaona beki hajielewi ila bado akaganda golini kama kinyago, ujinga mtupu, goli jepesi mno, Yanga huifungi goli kama lile.
goli jingine winga kapiga krosi nyepesi mno tena ya chini eti kipa wa Coast kaudaka na kuutupia ndani, ujinga mtupu,
yani Coast waliboa mno, walicheza kama timu ya daraja la nne maana hata ndondo cup wasingetoboa kwa Faru Dume FC, wachezaji walicheza kama vile wanadai posho hazijalipwa , wako legelege kama timu ya wadada , hawana haraka, no pressure, ilionesha aidha coast walipewa hela au wachezaji ndo mara ya kwanza kwenda nje ya nchi na wakabaki kushangaa jiji badala ya kucheza mpira ! Ujinga pro Max
Next time waende KMC hawa coast hamna wachezaji mle!! Coast watulipe muda tuliotumia kucheki mechi yao na bando tulilolipa Azam. Next time wajitoe tu mashindano ya CAF hawawezi.
Walisahau kujiandaa inawezekana wameuza wachezaji muhimuCoastal walipewa timu dhaifu sana, yaani wangecheza kama wanavyozikamia Simba na Yanga wangeshinda nyumbani na ugenini. Walicheza kama wako ndondo vile.
Hakuna pesa za CAF hatua za awali. Mashindano ni gharama ndio maana nchi zingine hazishirikiBora watolewe mapema waje kucheza ligi ya NBC, Yale mashindano ni gharama Sana. Unaweza kupambana kushiriki mwisho wa siku yakakukuta ya Biashara United.
Team nyingi miaka ya hv karibu ni zinaamua kucheza uko uko mf hai Vitaloo Jana wakiwa chamazi(Uwanja wao wa nyumbani) wamepiga pesa ya kutosha maana kama kutolewa kuko pale pale.
Watabaki hapa hapa mpaka marudiano so zile pesa za madafu watatumia hvyo hvyo.
Team mbili kutoka Zanzibar nazo zimeamua kumalizana na wapinzani wao huko huko.
Pesa kutoka CAF zinakuja kwa kuchelewa Sana!!
Wala hawajauza wengi ni walewale.Walisahau kujiandaa inawezekana wameuza wachezaji muhimu
Mbona waliweza kuikamia simba au yanga tena golikipa alikuwa hatari sana ule utayari umeondoka?Wala hawajauza wengi ni walewale.
Yule kipa hakuchezaMbona waliweza kuikamia simba au yanga tena golikipa alikuwa hatari sana ule utayari umeondoka?
Kauzwa labdaYule kipa hakucheza
Yule kipa hakucheza
Ameugua wakiwa huko huko wakamwacha mji mwingine akiendelea na matibabu huku wachezaji wengine wakielekea mji wa mapambanoKauzwa labda
Sikushangaa kwanini azam alishinda 5 dhidi ya coastal na yeye akafungwa 4 na yanga coastal ya msimu huu ni mbovu na inashuka daraja watu wa coastal ni wapuuzi timu ikishafanya vizuri msimu mmoja majungu yanakuwa mengi na timu inashuka daraja!Ukimya huu una maanisha nini??
Hakuna hata ushauri au mnasubiri SIMBA, YANGA na AZAM tu?
Labda wakaze mwendo wakiwa nyumbaniAmeugua wakiwa huko huko wakamwacha mji mwingine akiendelea na matibabu huku wachezaji wengine wakielekea mji wa mapambano