Matokeo ya Costal Union hamjayaona?

Matokeo ya Costal Union hamjayaona?

Bora watolewe mapema waje kucheza ligi ya NBC, Yale mashindano ni gharama Sana. Unaweza kupambana kushiriki mwisho wa siku yakakukuta ya Biashara United.
Team nyingi miaka ya hv karibu ni zinaamua kucheza uko uko mf hai Vitaloo Jana wakiwa chamazi(Uwanja wao wa nyumbani) wamepiga pesa ya kutosha maana kama kutolewa kuko pale pale.
Watabaki hapa hapa mpaka marudiano so zile pesa za madafu watatumia hvyo hvyo.
Team mbili kutoka Zanzibar nazo zimeamua kumalizana na wapinzani wao huko huko.
Pesa kutoka CAF zinakuja kwa kuchelewa Sana!!
Kwa Sasa team zinapewa hela na caf ya ushiriki almost 100 ml nadhani inasaidia gharama
Coastal tangu pre season wako hoi sana huenda wamepoteza hali ya ushindani
 
Bora watolewe mapema waje kucheza ligi ya NBC, Yale mashindano ni gharama Sana. Unaweza kupambana kushiriki mwisho wa siku yakakukuta ya Biashara United.
Team nyingi miaka ya hv karibu ni zinaamua kucheza uko uko mf hai Vitaloo Jana wakiwa chamazi(Uwanja wao wa nyumbani) wamepiga pesa ya kutosha maana kama kutolewa kuko pale pale.
Watabaki hapa hapa mpaka marudiano so zile pesa za madafu watatumia hvyo hvyo.
Team mbili kutoka Zanzibar nazo zimeamua kumalizana na wapinzani wao huko huko.
Pesa kutoka CAF zinakuja kwa kuchelewa Sana!!

Game ya JKU na Pyramid inachezewa wapi?
Waarabu
 
Wana bahati walikutana na timu ya hovyo bila hivyo jana wangepigwa kama 8 hivii
 
Goli la kwanza Coast wamefungwa kipumbavu, beki kashindwa kumiliki mpira "ulio katika milki yake" na kipa wake anaona beki hajielewi ila bado akaganda golini kama kinyago, ujinga mtupu, goli jepesi mno, Yanga huifungi goli kama lile.

goli jingine winga kapiga krosi nyepesi mno tena ya chini eti kipa wa Coast kaudaka na kuutupia ndani, ujinga mtupu,

yani Coast waliboa mno, walicheza kama timu ya daraja la nne maana hata ndondo cup wasingetoboa kwa Faru Dume FC, wachezaji walicheza kama vile wanadai posho hazijalipwa , wako legelege kama timu ya wadada , hawana haraka, no pressure, ilionesha aidha coast walipewa hela au wachezaji ndo mara ya kwanza kwenda nje ya nchi na wakabaki kushangaa jiji badala ya kucheza mpira ! Ujinga pro Max

Next time waende KMC hawa coast hamna wachezaji mle!! Coast watulipe muda tuliotumia kucheki mechi yao na bando tulilolipa Azam. Next time wajitoe tu mashindano ya CAF hawawezi.
Kwa kweli hovyo kabisa, yaani legelege kama mkojo wa kuku.
 
Naangalia hapa mechi ya KEN GOLD SPORT vs SINGIDA BIG STARS

yaan TIMU ZOTE HAZINA UWEZO WA KUPIGA PASI 5 MFULULIZO

YAAN butua butua nyingi sanaa yaan kwa mtindo huu TIMU ZA KUTOA UPINZANI NA CHANGAMOTO HAZIFIKI 6 KWAKWELI
 
Bora watolewe mapema waje kucheza ligi ya NBC, Yale mashindano ni gharama Sana. Unaweza kupambana kushiriki mwisho wa siku yakakukuta ya Biashara United.
Team nyingi miaka ya hv karibu ni zinaamua kucheza uko uko mf hai Vitaloo Jana wakiwa chamazi(Uwanja wao wa nyumbani) wamepiga pesa ya kutosha maana kama kutolewa kuko pale pale.
Watabaki hapa hapa mpaka marudiano so zile pesa za madafu watatumia hvyo hvyo.
Team mbili kutoka Zanzibar nazo zimeamua kumalizana na wapinzani wao huko huko.
Pesa kutoka CAF zinakuja kwa kuchelewa Sana!!
Hakuna pesa za CAF hatua za awali. Mashindano ni gharama ndio maana nchi zingine hazishiriki
 
Ukimya huu una maanisha nini??

Hakuna hata ushauri au mnasubiri SIMBA, YANGA na AZAM tu?
Sikushangaa kwanini azam alishinda 5 dhidi ya coastal na yeye akafungwa 4 na yanga coastal ya msimu huu ni mbovu na inashuka daraja watu wa coastal ni wapuuzi timu ikishafanya vizuri msimu mmoja majungu yanakuwa mengi na timu inashuka daraja!
 
Back
Top Bottom