Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6
Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Novemba 5, 2014 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania, Dk.Charles Msonde, ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 792,118 sawa na asilimia 98.2 na jumla ya watahiniwa 451 wamepata alama 100 au zaidi huku mkoa wa Dar es salaam ukiongoza.
Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008

- Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008
- Matokeo ya Mtihani wa Taifa Darasa la Saba 2013, Kumi bora.