Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Na hata mtu kuwa na B tatu na C mbili kuwa na average ya C pia inawezekana kama kapata B ya mwisho na C ya mwisho kwann asiwe na average ya C nyie wengi humu ni walopokaji ndo tatizo hamfikiriii kidg tuu CCM kitu huna akili wew unaleta siasaa acheni hizooo kaa fuatilia mambo ndo uje hapaaa
Mkuu punguza kidogo lugha ya ukali, unachotakiwa ni kuwaelewesha maana kwenye matokeo hawajaonyesha marks zaidi kuonyesha grade, nadhani wewe una hoja na wao wana hoja kutokana na uzoefu kuonyesha kwamba grade ndizo zinatumika kupanga matokeo na huwa hawasemi kwamba labda huyu atakuwa amepata C ya mwisho na huyu ya mwanzo
Mfano haya matokeo mtu chini
PS0306113-009
Kiswahili - B, English - C,Maarifa - C,
Hisabati - B, Science - C,
Average Grade - B
.............................. ............................
PS0306064-056
Kiswahili - B,English - C, Maarifa - C,
Hisabati - B, Science - C,
Average Grade - C