Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Ipi mkuu?Shue yangu niliyosomea imejitahidi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi mkuu?Shue yangu niliyosomea imejitahidi,
Labda nimsaidie huyu jamaa yetu, matokeo ya darasa la saba hayawekwi kwenye mtandao wakuu.
matokeo NECTA | Home ingia hapo uone
Inawezekana kabisa mwenye B mbili na C tatu akawa na average ya B, average grade inapatikana kutoka kwenye average marks. Tufanye assumption kwamba B inaanzia 61 hadi 80 na C inaanzia 41 hadi 60, sasa huyu mtu somo la kwanza kapata 78 na la pili kapata 65 ambazo ni B mbili, somo la tatu kapata 60, la nne kapata 52 na tano kapata 58 ambazo ni C tatu, ukijumlisha jumla ya maksi zote ni 313, average yake ni 62.6 ambayo ni B.PS0306113-009
Kiswahili - B, English - C,Maarifa - C,
Hisabati - B, Science - C,
Average Grade - B
Hii ni kali ya mwaka!kwa mimi niliyosoma pure maths ya mr.kiringo ilboru sidhani kama ni possible C zipo 3 halafu B 2 wastani uwe B?duuh hii BRN ya ccm inatupeleka pabaya sana
Siku hizi wanatoa kama ilivyo Oleve na Alevel alafu baadae ndio wanapanga tofauti na zamani matokeo maana yake ni majina ya waliochaguliwa kuingia secondari na walikuwa hawatoi umepata ngapiMatokeo darasa la saba yametoka mbona hawajaeka shule wanazoenda
Al Farouuq İl islamiya İslamic seminari imekuwa ya ngapi?
Jamani naomba mwenye kujua maana walitutapeli kwa kuiba jina la wayahudi na wakristo " seminari" huku tunawaita makafiri ,huku tunatumia majina yao ya watakatifu.
walah mie BAKWATA siwaelewi
Guyz naona wengi mna lalamika na grads lakini huwezi jua kwanza makosa yapo hadi mitihan ya 4m6 yapo hayo usishangae primary piliii nyie mnao lalama tuwekeeni hapa A inanzia ngapi B ngapi hadi C den ujue zinapatikan vp hawa watoto jumla ya alama ni kwa masomo ma tano den 41-50 ni A na 40-31 ni B so mtu kuwa na B Mbili na C tatu afu akawa na average ya B inawezekana sanaaaa plz MSIKURUPUKE JAMANIII
mfano mtoto akiwa na 40-B
40-B
30-C
30-C
30-C
Ukijumlisha hizo unapata 170 den gawanya kwa 5 unapata 34 ambayo ni B so nani hajui hesabu hapo ww au barazaaa plz narudia tena KABLA HUJAROPOKA UJINGA WAKO HEBU KAA NA UFIKIRIEEE
Zamani tulikuwa tunachukua ujiko mtaani kwamba tumefaulu nadhani utaratibu huu ungekuwepo kuna wengine wasingesoma sekondari aiseeNimefurahi utoaji wa matokeo maana hata wale waliokuwa wanalalamika kuwa watoto wao wamefauru ila nafasi zao zimechakachuliwa wataumbuka. angalai wastan wa mwanao ndo ujue atapata shule ama la! hata shule binafsi tumia wastan wa mwanafunzi kumsajili vinginevyo mtaokota mbumbumbu kama mimi!
nimeilewa,saafi sana!!