akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Labda nimsaidie huyu jamaa yetu, matokeo ya darasa la saba hayawekwi kwenye mtandao wakuu.
Yanawekwa mkuu, ingia website ya necta ujionee mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nimsaidie huyu jamaa yetu, matokeo ya darasa la saba hayawekwi kwenye mtandao wakuu.
wakuu, average grade gani, ina ashiria kijana atapata shule, maana dogo kapata C.
Kuna dogo kafurahi mpaka kaniuliza "na si tutapewa mkopo" nimekaa kimya.
Kuna dogo kafurahi mpaka kaniuliza "na si tutapewa mkopo" nimekaa kimya.
Average Grade A mpaka C wote watapata shule,wenye D watachukuliwa baadhi.
Namshukuru Mungu sana, mwanangu kapiga A zote Grade A ya nguvu. Ahsante Tusiime hela zinauma ila matokeo nimeyaona, hahahaaaa ila na big baby boy wangu kichwa lol.
Kuna dogo kafurahi mpaka kaniuliza "na si tutapewa mkopo" nimekaa kimya.
Ahsante sana dear Munkari, nina furaha sana.
Furaha lazima asee
umpikiamo chakula kizuuuriii anachokipenda leo
hapo ndo raha ya kuwa mzazi inapojidhihirisha!!!
nina mtoto wa dada yangu pia kafaulu basi nimempa mamake matokeo naona hadi kapagawa loh!!!
kalikuwa kanapenda hesabu hako imemtoaje afu kakike Mungu awajalie wafike mbali!!!