Matokeo ya darasa la Saba 2014 yatangazwa, mkoa wa Dar es Salaam waongoza

mwenye grade ipi atachaguliwa kwenda sekondari??
 
Kuna dogo kafurahi mpaka kaniuliza "na si tutapewa mkopo" nimekaa kimya.
 
Nikitaka kujua wilaya yangu ni ya ngapi katika mkoa wangu nafanyaje....
 
Nimecheki hakuna link ya matokeo haya. Any way too early to argue .
 
Duu!! nimefeli!! hivi ufaulu ni kuanzia grade ngapi
teh!!
 
Namshukuru Mungu sana, mwanangu kapiga A zote Grade A ya nguvu. Ahsante Tusiime hela zinauma ila matokeo nimeyaona, hahahaaaa ila na big baby boy wangu kichwa lol.
 
Namshukuru Mungu sana, mwanangu kapiga A zote Grade A ya nguvu. Ahsante Tusiime hela zinauma ila matokeo nimeyaona, hahahaaaa ila na big baby boy wangu kichwa lol.

Wachaa!!!
hongera mzazi!!!
 
Ahsante sana dear Munkari, nina furaha sana.

Furaha lazima asee
umpikiamo chakula kizuuuriii anachokipenda leo
hapo ndo raha ya kuwa mzazi inapojidhihirisha!!!

nina mtoto wa dada yangu pia kafaulu basi nimempa mamake matokeo naona hadi kapagawa loh!!!
kalikuwa kanapenda hesabu hako imemtoaje afu kakike Mungu awajalie wafike mbali!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mpangilio wa madaraja ya ufaulu kwa elimu ya shule za msingi upoje? Msaada
 

Amina dear, kweli yote uyasemayo. Raha ya uzazi unaiona hapa, tena kama siye wazazi wadogo karibia kulingana na watoto hahahahaaaa. Hongereni na mtoto wa dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…