Matokeo ya kauli "Maisha yenyewe mafupi" huwa ni mabaya

Kula bia wewe.....

Maisha yenyewe mafupi
images-402.jpg
images-401.jpg
 
Mi naona maisha sio mafupi tu bali pia hayana guarantee.
The fact kuwa yanaweza kuondoka muda wowote inakera sana , ukiangalia makaburi ya watu waliokuwa na infuence , kuna vitu vingi sana vinaumiza ,mtu anajinza kusoma na kuandika , anapata elimu kwa tabu sana , then ungetegemea at least phd holder huyu akae muda merfu duniani, la, kifo kinamchukia akiwa katika peak ya mafanikio, na kuacha simanzi kwa waliomzunguka ,
 
Hayo meneno Mara nyingi uwafanya watu wachukue maamuzi magumu Aisee.😀😀,

Unakuta mtu Ana jitosa kufa kupona afanikishe kitu furani.hata Kama ni hatari kwake😀😀,kikubwa Mambo yake yaende!
 
Mi naona maisha sio mafupi tu bali pia hayana guarantee.
The fact kuwa yanaweza kuondoka muda wowote inakera sana , ukiangalia makaburi ya watu waliokuwa na infuence , kuna vitu vingi sana vinaumiza ,mtu anajinza kusoma na kuandika , anapata elimu kwa tabu sana , then ungetegemea at least phd holder huyu akae muda merfu duniani, la, kifo kinamchukia akiwa katika peak ya mafanikio, na kuacha simanzi kwa waliomzunguka ,
Jaribu kuwaza kwanini mababu zetu waliweza kuishi mda mrefu na wengi hufa wakiwa na afya zao Alafu linganisha na kizazi cha sasa ni jinsi gani guarantee yetu ya maisha iko chini ukichunguza kwa makini utajua nini chanzo.
 
It has a lot to do with technology , exposure and the likes,
Babu yangu hakuwahi miliki smartphone, mie ninayo kiunoni karibu kila siku kww miaka kadhaa sasa! Babu yangu ali settle sehemu moja kwa muda mrefu sana akiijoi same temperatures, eco systems and the likes , mimi leo nipo songea, kesho njombe na keshokutwa nitakuwa Tanga , the way ninavyoupa mwili wangu stress ya ku accomodate different environment ndo navyodhidi kuchosha defence mechanism ya mwili,
Hapo sijaongelea mahonjwa kama aids sukari, figo na dude la mjini sasa uviko.
Kiufupi kabisa muda umebadilika na hatuwezi tena kupata the luxury of life ,our granddads had.
 
Kwa kifupi utandawazi unaonekana ukimkomboa mwanadamu lakini ndo unazidi kumzamisha angalia jinsi mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoikumba dunia kwasasa ndo utaona huko baadae dunia itakuwa sio sehemu salama kama tunavyoifikiria.
Tunavyoenda mbele basi tusisahau tulipotoka.
 
Na huwezi kuzuia hilo, that's the sad part.
Leo hii mtu anaweza zunguka dar nzima , kwa muda mfupi kwenye gari yenye kiyoyozi hatoki jasho na hapigi hata hatua mbili, , halafu naye ati anataka apate mika 70 ,80 kama babu zake.
 
Nikujinasua tu tusiwe watumwa wa fikra haya maisha ukiishi ukiwa na ufahamu basi utayaishi vizuri tu.
 
Back
Top Bottom