Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

Advance jau sana aiseee..
Mi mapaka sasa huwa nashangaa inamana sikua na akili au...
Sio kwa marks zile dadek
Ulikua na poor brain, ule mtihan nimefanya najua nikifel ntakua na one ya 5 matokea yalivyokuja yakabadili dream zangu mpk leo nipo kwenye kitu ambacho hata sikuwa kuwaza kukisoma ila rizki Inapatikana namshukuru Mungu
Advance ulikua unaweza kwenda na one imenyooka ukatoka na zero takatifu
 
Msuli wa pcb ilikuaje pale high level mkuu
Wanaosoma pcb huwa nawaheshimu sana biology ilinishinda mapema kabisa pale tuliposoma classification tipoanza kuongea zile lugha zao hapo ndio biology ikawa ngumu kwangu hata sijui kingdom animalia, class ....... schizomycota habari ikaisha nikapata c o level
 
Kupata Division One kwa kipindi hiki ni kama kumpiga gwala mlevi anayeyumba kwa kubugia vidusu 😂😂

Kuna mwaka nimesahau darasa zima walipata One Point 7 mademu.

Nikikumbuka miaka ya zamani kwa Shule za Mikoani utakuta Ilboru au Mzumbe One Point 7 hazizidi 5 ,kwa Dar ukienda Azania unakuta Moja ya WENZE.
 
Msuli wa pcb ilikuaje pale high level mkuu
Mimi kwangu ELIMU HAIJAWAI kua ngumu..
KINGINE Mimi nilikua nikishindwa kuelewa NA UWEZO MKUBWA SANA WA KUKARIRI MADESA KWA KIWANGO CHA SGR
SIJAWAI KUPATA UGUMU POPOTE KWENYE ELIMU YANGU.
NIMEANZA KUNENEPA NILIPO MALIZAGA CHUO KIKUU.
LEO HII NIKIKUTANA NA WANAFUNZI WENZANGU WANANISHANGAAGA ETI NIMEKUA BONGE
BINAFSI MIMI NILIKUAGA BOOK MONGERS NIPO SERIOUS NA MASOMO MUDA WOTE NILIKUA NAHAKIKISHA SYLLABLUS YOTE INAKAA KICHWANI
 
Ulikua na poor brain, ule mtihan nimefanya najua nikifel ntakua na one ya 5 matokea yalivyokuja yakabadili dream zangu mpk leo nipo kwenye kitu ambacho hata sikuwa kuwaza kukisoma ila rizki Inapatikana namshukuru Mungu
Advance ulikua unaweza kwenda na one imenyooka ukatoka na zero takatifu
Kikubwa uzima alhamdullilaah...
Mi nakumbuka natoka kwenye paper la chemistry kuna mwenzangu alikua ajiwezi kabisa
 
Wanaosoma pcb huwa nawaheshimu sana biology ilinishinda mapema kabisa pale tuliposoma classification tipoanza kuongea zile lugha zao hapo ndio biology ikawa ngumu kwangu hata sijui kingdom animalia, class ....... schizomycota habari ikaisha nikapata c o level
😂😂😂😂😂😂 Mkuu nipe heshima zangu ujue....

Nimesoma pcb me sema ndo hv tuu
Vtu vilinifakamia 😂😂😂
 
Mimi kwangu ELIMU HAIJAWAI kua ngumu..
KINGINE Mimi nilikua nikishindwa kuelewa NA UWEZO MKUBWA SANA WA KUKARIRI MADESA KWA KIWANGO CHA SGR
SIJAWAI KUPATA UGUMU POPOTE KWENYE ELIMU YANGU.
NIMEANZA KUNENEPA NILIPO MALIZAGA CHUO KIKUU.
LEO HII NIKIKUTANA NA WANAFUNZI WENZANGU WANANISHANGAAGA ETI NIMEKUA BONGE
BINAFSI MIMI NILIKUAGA BOOK MONGERS NIPO SERIOUS NA MASOMO MUDA WOTE NILIKUA NAHAKIKISHA SYLLABLUS YOTE INAKAA KICHWANI
Wewe na kufananisha na jamaa angu mmoja alikua anaitwa Toxic... Yaani jamaa alikua yupo very serious..

Jamaaa mda wote anasoma utafikili kesho ana paper..
Cha ajabu jamaa amemaliza advance akajiunga na upasta daah iliniuma sana aiseeee...

Mkuu biology ile kama una uwezo mdogo wa kukalili walah hutoboi yale madude mpaka leo nayaheshimu..

Sijui kama kuna mambo magumu kama advanced level mkuu
 
Tatizo huwaga ni muda unakua mfupi miezi 18 (JIDA) muda ni mfupi kichwa Cha spear tairi huwezi ku meza madesa na papo papo kuya memories kwa kuyakumbuka 😊😀
 
😂😂😂😂😂😂 Nikikumbuka ule mzigo wa bs daaah aiseee.
Nikikumbuka ile genetics ya pannet square sijui daaah daaah aiseee elimu ngumu wakuu..

Hapo bado ujagalagazwa na organic two...
Yani mi kuna mda nikahisi kama wazazi walinipeleka jera tuu
 
Umenikumbusha wakianza kucross breed natoa macho tu sielewi kabisa. Yan biology hata leo unilipe nisome siwezi kabisa
 
Ndo mwaka niligundua kukariri sio fani yangu😅 nmejikita kwenye mambo mengine
 
Upatikanaji wa materials pia ulikuwa mgumu kwa kipindi hicho cha miaka ya 2009 kurudi nyuma.
Ilikuwa ukiwa na past papers au vitini(pamphlates) basi wewe ndio superstar maana kila mwanafunzi atakuja kuazima.
Asilimia kubwa kwa wale tuliosomea shule za kata tulikuwa tunamtegemea mwalimu kwa asilimia kubwa.
Kwa sasa mwanafunzi ana namna mbalimbali za kupata materials ya kusoma na pia walimu ni wengi. Ni rahisi sana mwanafunzi kufanya vizuri miaka hii kuliko miaka ya nyuma.
Umenikumbisha mbali sana hapo uliposena phamlets. Mimi nilikuwa na pamphlet za Physics na Chemistry. In short ilikuwa notes za vijana wa Ilboru. It was 2002. But vikinisaidia sana, nilipigq Div. I ya 14 nikiwa acha Kwa mbali washindani wangu wawili wa kata na tarafa enzi za primary ambao wao baada la Saba walienda Ilboru Mimi nikaangukia Shule Moja Kongwe ya day ya Serikari ndani ya Mkoa. Nilipiga Shule Kwa usongo, wao wakaishia II ya 19 na mwingine I ya 17 maana wakija likizo wao na mademu wetu nilikuwa nasoma nao
 
Huo Mwaka bila shaka ulikuwa wa hatari. Nilikuwa na dogo langu lilikiwa halipendi kusoma. Pamoja na magoli kutanuliwa kalipiga ufaulu usioridhidha. Yaani kalizunguka mbuyu.
 
Umenikumbusha wakianza kucross breed natoa macho tu sielewi kabisa. Yan biology hata leo unilipe nisome siwezi kabisa
Biology is not for everyone one..
Kuna siku mwalimu alikuta nalala kwenye kipindi akaniambia.
""Utapata Aa ya biology """

Yule jamaa alikua ana mambo ya kiwaki sana 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom