Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

nashangaa mtu anakuja kusema pepa la 2012.mwaka naanza ajira yangu.sisi tulipga pepa 2006 ukliza sasa.kwanza tulikua tunasoma na madogo wa mchikichin.tuko f 2 tumeshajua kuderive keplers law .mchiki down pind sh 100 naul ya bas hamsin. watto wa leo naskia et mtu ana one
Oya mchikidown ilikuwa pindi 100 au 200? Per hour ?
 
Watoto walikua hawasomi Wana syllabus nyingi.

Mitihani ya mwisho konki ulikua 2009 backwards..

Mimi nimesoma mwenyewe kwa kutumia syllabus ukiweza ku cover syllabus yote ikawa KICHWANI huwezi ku fail kidato Cha nne.

O-level hakunaga mitiani migumu period!

SEMA wanafunzi hawasomi na wanamambo mengi mitiani maswali yote yapo ndani ya SYLLABUS.

ACHA KUTETEA UZEMBE NA UJINGA KWA HAO WANAFUNZI UCHWARA.
Kuna wakina sisi wa shule za kata ambao hata syllabus hatukuwahi kuiona, tuliwekeza sana kwenye utashi wa kujua kucheza na maswali. Kundi letu hata pepa liwe gumu vipi, tulikuwa hatukosi 'C'. 2009 tuliambulia division 3 za mwanzo kabisa safi.
 
Lady alafu umebatua phy hvo..
Ulikua ulali wewe sio 😂😂🙌🙌🙌
Naam bibi yangu wakati ananilea alikua akisema urithi anaoniachia ni elimu so i had to make effort in my studies plus tuition za ilboru secondary , tulikua tukipiga sana vipindi pale kiasi kwamba shule ikifunguliwa kwangu inakua revision
 
Umetisha sana...
Hata madude yalivyokua magumu hivi alafu mtu anakwambia ana B huko...

Alafu bado ukaendelea kuisoma sio au uliachana nayo mkuu
 
Eeeh hatareer hyo madam..
Vipi mizigo ya advance phy na pure ilikuaje...??
Phy naimani uliendelea nayo madam
Chemistry nilizingua ila physics na maths haikua mbaya japo advance nayo miyeyusho unategemea matokeo haya yanakuja mengine kabisa, binafs maths na physics haikua tabu sana kwangu
 
Kuna wakina sisi wa shule za kata ambao hata syllabus hatukuwahi kuiona, tuliwekeza sana kwenye utashi wa kujua kucheza na maswali. Kundi letu hata pepa liwe gumu vipi, tulikuwa hatukosi 'C'. 2009 tuliambulia division 3 za mwanzo kabisa safi.
Kila somo huwaga Kuna kuaga na syllabus yake ni kitabu Kama guided book 📚 ya mambo yote mwanafunzi wa form 1,2,3,4 anatakiwa ayasome/ajifunze mwaka husika wa masomo. O-level darasani tulifaulu kwenda advance only 15 people kati ya watu 286.

Mimi nilisoma shule Za government both level na A_LEVEL nikapelekwa shule ya vipaji maalum so sio kwamba nimesoma ushuani kilicho nisaidia natokea familia yenye ma brother and sister walio soma kunitangulia so mavitabu na notes zilikua nyingi sanaa kwa kila somo pia nilikua na ma brother walimu wa secondary enzi zile. Nilikua na brother angu mtabe wa mathematics nambana ananipigia matopic.

Kuna jamaa mmoja engineer alikua ananipa falsafa hakuna somo rahisi Kama hesabu yaan ilikua tuna taniana LEO NIPO UWANJA WA NYUMBANI mathematics, geography, chemistry, kiswahili, history, biology, kiswahili. Kiwanja Cha ugenini ilikua ni physics na English haya masomo mawili nilikua naya mudu kwa average kutokana na kukwaruzana na walimu wake nje darasani nikawaga najisomea mwenyewe na yote nilipata C
 
Chemistry nilizingua ila physics na maths haikua mbaya japo advance nayo miyeyusho unategemea matokeo haya yanakuja mengine kabisa, binafs maths na physics haikua tabu sana kwangu
Advance jau sana aiseee..
Mi mapaka sasa huwa nashangaa inamana sikua na akili au...
Sio kwa marks zile dadek
 
Kila somo huwaga Kuna kuaga na syllabus yake ni kitabu Kama guided book 📚 ya mambo yote mwanafunzi wa form 1,2,3,4 anatakiwa ayasome/ajifunze mwaka husika wa masomo. O-level darasani tulifaulu kwenda advance only 15 people kati ya watu 286.

Mimi nilisoma shule Za government both level na A_LEVEL nikapelekwa shule ya vipaji maalum so sio kwamba nimesoma ushuani kilicho nisaidia natokea familia yenye ma brother and sister walio soma kunitangulia so mavitabu na notes zilikua nyingi sanaa kwa kila somo pia nilikua na ma brother walimu wa secondary enzi zile. Nilikua na brother angu mtabe wa mathematics nambana ananipigia matopic.

Kuna jamaa mmoja engineer alikua ananipa falsafa hakuna somo rahisi Kama hesabu yaan ilikua tuna taniana LEO NIPO UWANJA WA NYUMBANI mathematics, geography, chemistry, kiswahili, history, biology, kiswahili. Kiwanja Cha ugenini ilikua ni physics na English haya masomo mawili nilikua naya mudu kwa average kutokana na kukwaruzana na walimu wake nje darasani nikawaga najisomea mwenyewe na yote nilipata C
Mkuu mi nikajua umeuwa pcb ujue..
 
Back
Top Bottom