BrainOs
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 292
😥😥Mimi ni miongoni mwa waliofanya mtihani mwaka huo shule moja ya kata jijini arusha,, aise sitaki hata kukumbuka,, shuleni kwetu walio fanikiwa kuendelea mbele ni wanafunzi wanne tuu kati ya wanafunzi 541 tulio fanya mtihani shuleni hapoHabari wanajukwaa!
Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu.
Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa?
Hii screenshoot ya shule moja ya Arusha Secondary.View attachment 3143198