Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
- Thread starter
- #101
Nilishukuru Mungu kuiotea option ya Additional kipindi nilipokuwa O- level, la sivyo Advanced Mathematics, Physics na Upande wa Chemistry kwenye baadhi ga Derivation ningedhalilika.Alafu mgote ile projectile yake kama hujui trig vizuri uwezi toboa..
Ndo mana wana wa kusoma biology walikua wanahenyeka sana na yale maswala ya prove (#:$&-$-$-37#) is Time of flight....
Alafu unakutana na parabolic equation ya mgote zipo zaidi ya saba ππππππππ
Mnaanza ku-derive mapema sana mwalimu anakuambia hii (1 +x)^-2 tunaweza kui-expand vizuri tu!
Japo Additional ilikuwa ikitunyoosha lakini ilinisaidia sana advance