blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Nipe link.Yapo wala hayajafichwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe link.Yapo wala hayajafichwa!
Nimeona matching items pale...Japo haikunipitia ila Mathematics haikuwa na maajabu.
Angalia swali la 6c blood ..Japo haikunipitia ila Mathematics haikuwa na maajabu.
Kama kaskazin yalikua hivyo Ile Mikoa ingine ilkuaje??Haya ni matokeo ya kaskazini tunakoambiwa kuwa wanaithaminì mno elimu😆😆😆😆😆
Mbona hakuna machagulio mkuu 😂😂😂Wa 1992 paper yao hii hapa
Oa weee mbona kama kuna mizigo ya mechanics humu mkuu.. na fluid dynamics 😂😂😂😂😂😂Wa 1992 paper yao hii hapa
Ila bora mtihani kama huo kuliko machagulioHuu
ulikuwa mwaka wa kupuna credits za watu!
Mikoa mingine walifaulu tu namaanisha mtwara vijana walipiga division l kibao tu tena shule za vijijini huko maarufu za lowasaKama kaskazin yalikua hivyo Ile Mikoa ingine ilkuaje??
Kuna mwalimu aliwahi kutufundisha, age yake ilikuwa imeenda. Akifanya swali mara ya kwanza na yapili, ukidai hujaelewa anaishia kusema "Uwenda haukuzaliwa kwa ajili ya Physics, anyway kaza. Necta watakagua mavuno" baada ya hapo anatua chaki na ndo imeisha hiyo, hakuna maelezo zaidi ya hayo. Huyu mwalimu alikuwa nondo mno alisoma PM tu kwa ngazi ya Advance!Nimeona matching items pale...
Ule mzigo wote wa motion in straight line..
Ukija swali la ngapi pale sijui ni hydrometer reading ile aaaah
Kuna baadhi ya pepa za miaka ya nyuma zilikuwa zinaeleweka.Hakunaga mtihani Mgumu bhana nivile watu hawasomi tu Ila respect kwa watu waliofanya Pepa kuanzia 2010 kurudi nyuma ... sisi wa 2013 unamaliza papaer unajua kabisa hapa nimepita
Naunga mkono hoja pepa ya 2009 ilikuwa ngumu sna ikiwamo mtihani wa Math uliahirishwa kwa wiki mbili balaa likaja 2010 nusu ya watahiniwa waliofanya mtihani walipata zeroUmeona ya 2009? Call it ya kawaida? 2006 call it ya kawaida
Pamoja na hivyo waliosoma zamani walikuwa na mazingira magumu . Smartphone revolution huenda zimerahisisha watu kufaulu miongoni mwa mwambo mengine. Kwasasa hata shule za kata mnafaulu busy ya Darasa. Sisi tulikuwa 35, tukifaulu 15😅 shule ya kataKuna baadhi ya pepa za miaka ya nyuma zilikuwa zinaeleweka.
nashangaa mtu anakuja kusema pepa la 2012.mwaka naanza ajira yangu.sisi tulipga pepa 2006 ukliza sasa.kwanza tulikua tunasoma na madogo wa mchikichin.tuko f 2 tumeshajua kuderive keplers law .mchiki down pind sh 100 naul ya bas hamsin. watto wa leo naskia et mtu ana oneMambo yamekuwa marahisi and so predictable. Walio maliza 2009- kurudi nyuma pepa zilikuwa tight sana, alie pita kweli alikuwa jembe
Tism nili opt aiseee an formula zote zile..Japo inaonekana Physics ilikuwa ngumu ila nisingepunwa aisee, Tism, Projectile, Heat, Current Electricity, Measurement imenyooka kabisa. 😂😂😂