Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAHIHI 2009_ backwards kweli ulikua mchujo mkali SANAA.Mambo yamekuwa marahisi and so predictable. Walio maliza 2009- kurudi nyuma pepa zilikuwa tight sana, alie pita kweli alikuwa jembe
Unacheza na Ndalichako niniHabari wanajukwaa!
Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu.
Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa?
Hii screenshoot ya shule moja ya Arusha Secondary.View attachment 3143198
Haya ni matokeo ya kaskazini tunakoambiwa kuwa wanaithaminì mno elimu😆😆😆😆😆Habari wanajukwaa!
Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu.
Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa?
Hii screenshoot ya shule moja ya Arusha Secondary.View attachment 3143198
mlijiamini sana, yaani matokeo ya kidato cha pili mlifikiri yanaweza kuakisi matokeo ya kidato cha Nne?Matokeo ya form two tuliishangaza kanda yetu kwa kuwa wa kwanza kikanda , tulitandaza A nyingi za 90+ na mtu wa mwisho kidarasa alikuwa na wastani wa 65.
Baada ya kufanya mitihani ile ya form four darasa letu la 2012 tukaanza kujiamini kuwa tutalishangaza taifa kuwa tutakuwa na division one nyingi za single digit. Lakini baada ya matokeo kutoka sikuamini macho yangu pamoja na kwamba nilikuwa nimefaulu.
Dr am 4 real PhD Detective J miaka ya 2009 Rudi nyuma mtu ukipata div 1 ya point 7 form 4, Yani wewe kweli ni kidume, na ukiwa na div 1 ya 7 kuna uwezekano upo top 10 ya kitaifa..SAHIHI 2009_ backwards kweli ulikua mchujo mkali SANAA.
Hakuna mitihani pale walikuwa vilaza tu. Mtihani ninaouheshimu mimi ni form six 2007 tu! Wewe tafuta ile mitihani halafu angalia maswali especially ya science ni copy and paste kwenye vitabu.2012 na 2011 ndio ilio badirisha mtazamo wa elimu ya form 4 hadi serikali ikabdi upunguze ukali wa mitihan
Ila tuliaminishwa humu kuwa kaskazini wapo vizuri sana kwenye elimu sasa hayo yakutokuwepo japo division ll kwakweli inasikitisha mno😆😆😆😆Hali ilikuwa mbaya sana, kwa shule hii ya Arusha Sekondari wanafunzi walikuwa zaidi ya 400! Fikiri walimu wanafundishaje darasa kama hili?
Mabroo ndo mlirudiaga paper? Naona sekii hapo 😂😂 mliburuza kweli kweli sasa vipi ka lemara, sinoni, kaloleni?Habari wanajukwaa!