Watoto walikua hawasomi Wana syllabus nyingi.
Mitihani ya mwisho konki ulikua 2009 backwards..
Mimi nimesoma mwenyewe kwa kutumia syllabus ukiweza ku cover syllabus yote ikawa KICHWANI huwezi ku fail kidato Cha nne.
O-level hakunaga mitiani migumu period!
SEMA wanafunzi hawasomi na wanamambo mengi mitiani maswali yote yapo ndani ya SYLLABUS.
ACHA KUTETEA UZEMBE NA UJINGA KWA HAO WANAFUNZI UCHWARA.
Form one hadi four ni elimu rahis sana
Sanaaa kuwai kutokea
Sema wanafunzi wanamambo meingi mnooo
Mimi nilifaulu masomo ya o level kwenye mazingira magumu sana
Nilikua naweza kutumia silabasi nikaoanisha na vitabu na nikasoma
Nimesoma masaini huko ndani ndani
Ila baada ya kukutana na elimu ya advance na chuo nakiri tena
Elimu ya o level ni rahis sana
ningepata walimu wanaojituma kama sasa
Kama nisingekua TO basi one of the top stiudent in Tanzania
Yaani ni simple tu SOMA
Sikuhizi wanafunzi wana silabasi kama 6 kichwani
1.masomo
2.mikeka/kubeti
3.tamthilia za huba
4.yanga na simba
5.ps magemu
6.kokoro la mchina
7,ugoro
8.picha za pillau
9.nitapata wapi simu kwa watoto wa kike
10.bodaboda kwa watoto wa kike
11.shisha ya umeme wanaingia nayo hadi mabwenini
Aiseee TULIO WAZAZI TUANGALIE SANA