Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Yes,Mkuu mi nikajua umeuwa pcb ujue..
Msuli wa pcb ilikuaje pale high level mkuuYes,
Nimesoma PCB Ila nimeelezea masomo Kama yalivyo kwenye uwanja wa ugenini na uwanja wa nyumbani.
Masomo yote 9 nilifanya vizuri siku fail somo lolote.
Ulikua na poor brain, ule mtihan nimefanya najua nikifel ntakua na one ya 5 matokea yalivyokuja yakabadili dream zangu mpk leo nipo kwenye kitu ambacho hata sikuwa kuwaza kukisoma ila rizki Inapatikana namshukuru MunguAdvance jau sana aiseee..
Mi mapaka sasa huwa nashangaa inamana sikua na akili au...
Sio kwa marks zile dadek
Wanaosoma pcb huwa nawaheshimu sana biology ilinishinda mapema kabisa pale tuliposoma classification tipoanza kuongea zile lugha zao hapo ndio biology ikawa ngumu kwangu hata sijui kingdom animalia, class ....... schizomycota habari ikaisha nikapata c o levelMsuli wa pcb ilikuaje pale high level mkuu
Kupata Division One kwa kipindi hiki ni kama kumpiga gwala mlevi anayeyumba kwa kubugia vidusu ππ
Mimi kwangu ELIMU HAIJAWAI kua ngumu..Msuli wa pcb ilikuaje pale high level mkuu
Kikubwa uzima alhamdullilaah...Ulikua na poor brain, ule mtihan nimefanya najua nikifel ntakua na one ya 5 matokea yalivyokuja yakabadili dream zangu mpk leo nipo kwenye kitu ambacho hata sikuwa kuwaza kukisoma ila rizki Inapatikana namshukuru Mungu
Advance ulikua unaweza kwenda na one imenyooka ukatoka na zero takatifu
ππππππ Mkuu nipe heshima zangu ujue....Wanaosoma pcb huwa nawaheshimu sana biology ilinishinda mapema kabisa pale tuliposoma classification tipoanza kuongea zile lugha zao hapo ndio biology ikawa ngumu kwangu hata sijui kingdom animalia, class ....... schizomycota habari ikaisha nikapata c o level
Wewe na kufananisha na jamaa angu mmoja alikua anaitwa Toxic... Yaani jamaa alikua yupo very serious..Mimi kwangu ELIMU HAIJAWAI kua ngumu..
KINGINE Mimi nilikua nikishindwa kuelewa NA UWEZO MKUBWA SANA WA KUKARIRI MADESA KWA KIWANGO CHA SGR
SIJAWAI KUPATA UGUMU POPOTE KWENYE ELIMU YANGU.
NIMEANZA KUNENEPA NILIPO MALIZAGA CHUO KIKUU.
LEO HII NIKIKUTANA NA WANAFUNZI WENZANGU WANANISHANGAAGA ETI NIMEKUA BONGE
BINAFSI MIMI NILIKUAGA BOOK MONGERS NIPO SERIOUS NA MASOMO MUDA WOTE NILIKUA NAHAKIKISHA SYLLABLUS YOTE INAKAA KICHWANI
Tatizo huwaga ni muda unakua mfupi miezi 18 (JIDA) muda ni mfupi kichwa Cha spear tairi huwezi ku meza madesa na papo papo kuya memories kwa kuyakumbuka ππWewe na kufananisha na jamaa angu mmoja alikua anaitwa Toxic... Yaani jamaa alikua yupo very serious..
Jamaaa mda wote anasoma utafikili kesho ana paper..
Cha ajabu jamaa amemaliza advance akajiunga na upasta daah iliniuma sana aiseeee...
Mkuu biology ile kama una uwezo mdogo wa kukalili walah hutoboi yale madude mpaka leo nayaheshimu..
Sijui kama kuna mambo magumu kama advanced level mkuu
ππππππ Nikikumbuka ule mzigo wa bs daaah aiseee.Tatizo huwaga ni muda unakua mfupi miezi 18 (JIDA) muda ni mfupi kichwa Cha spear tairi huwezi ku meza madesa na papo papo kuya memories kwa kuyakumbuka ππ
Hatari sana .ππππππ Mkuu nipe heshima zangu ujue....
Nimesoma pcb me sema ndo hv tuu
Vtu vilinifakamia πππ
Umenikumbusha wakianza kucross breed natoa macho tu sielewi kabisa. Yan biology hata leo unilipe nisome siwezi kabisaππππππ Nikikumbuka ule mzigo wa bs daaah aiseee.
Nikikumbuka ile genetics ya pannet square sijui daaah daaah aiseee elimu ngumu wakuu..
Hapo bado ujagalagazwa na organic two...
Yani mi kuna mda nikahisi kama wazazi walinipeleka jera tuu
Umenikumbisha mbali sana hapo uliposena phamlets. Mimi nilikuwa na pamphlet za Physics na Chemistry. In short ilikuwa notes za vijana wa Ilboru. It was 2002. But vikinisaidia sana, nilipigq Div. I ya 14 nikiwa acha Kwa mbali washindani wangu wawili wa kata na tarafa enzi za primary ambao wao baada la Saba walienda Ilboru Mimi nikaangukia Shule Moja Kongwe ya day ya Serikari ndani ya Mkoa. Nilipiga Shule Kwa usongo, wao wakaishia II ya 19 na mwingine I ya 17 maana wakija likizo wao na mademu wetu nilikuwa nasoma naoUpatikanaji wa materials pia ulikuwa mgumu kwa kipindi hicho cha miaka ya 2009 kurudi nyuma.
Ilikuwa ukiwa na past papers au vitini(pamphlates) basi wewe ndio superstar maana kila mwanafunzi atakuja kuazima.
Asilimia kubwa kwa wale tuliosomea shule za kata tulikuwa tunamtegemea mwalimu kwa asilimia kubwa.
Kwa sasa mwanafunzi ana namna mbalimbali za kupata materials ya kusoma na pia walimu ni wengi. Ni rahisi sana mwanafunzi kufanya vizuri miaka hii kuliko miaka ya nyuma.
Kwamba yeye ndiye alitunga mitihani au alisahihisha?ulikua usenge na ujuaji wa ndalichako wakati ule yeye akiwa katibu wa wizara ya elimu
Imefika mkuu πππππHatari sana .
Heshima yako mkuu
Biology is not for everyone one..Umenikumbusha wakianza kucross breed natoa macho tu sielewi kabisa. Yan biology hata leo unilipe nisome siwezi kabisa