Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

S Zamani shule za kanisa zikiongoza, lkn siku hizi zimetupwa mbali kabisa
 
Siokweli Mzee
 
S
Zamani shule za kanisa zikiongoza, lkn siku hizi zimetupwa mbali kabisa
Bado zinaongoza Tena sana, shida imekuja paper limekuwa JEPESI, grade zimeshushwa sana

Kwahiyo ni kama unaona wapo mzani sawa

Kaangalie kwasasa unakuta darasa Zima Wana one ya 7 ,na A zote kila Somo ,kitu ambacho miaka ya nyuma ilikuwa ngumu
 
ni kweli kabisa mkuu upo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…