Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

Wivu Wa nini mkuu...
Muda utakuja Nena..
Subirini
Kwa sasa ndio walichopata hatuwezi kubadilisha, uzuri bado safari yao ya elimu inaendelelea tutajionea

Ila sekta ya elimu kuongozwa kisiasa ni janga
 
Ufaulu umepanda,Kwa watoto wapi,hawa hawa wa
Ufaulu umepanda kwa watoto wepi,hawa hawa wanaopewa mitihani na kusukumwa,vichekesho.Hivi tutajidanganya mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…