MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

Wakati mwingine ni busara kutokuanzisha thread au kuposti kitu chochote!

Hawa wote ni wadogo zetu hamna cha kufurahisha hapo!
 
Waagize wafanye hivyo, au wakutume wewe usimamie ili ujiridhishe. Matokeo mazuri yanatokana na uchapakazi, mipango mizuri, motisha kwa walimu na wanafunzi nanguvu ya Roho Mtakatifu.

nakubali, lkn kwan ini high view walishtuka, walipanga mkakati? huku seminary hakufanyiki mkakati kama huo?
 
mwaka 2008, Shule moja inayoitwa High view sec school inayomikiwa na mmoja ya mfanya biashar mkubwa visiwani Zanzibar iliongoza Zanzibar kwa kufanya vizuri yaani ilitoa div 1 zaidi ya 15, div 2 za kumwaga kati ya watoto wsiozidi 50. hii ni mara ya kwanza kwa shule hiyo kutoa idadi kubwa wanafunzi. nadhani hata Baraza la Mitihani la Taifa Necta ilishtuka, iljihoji na ilitaka kujua haya ni matokeo ya Kweli?
Mwaka uliofuta NECTA ilituma ujumbe mzito katika shule hiyo, kwa maneno ya vijana iliwabana vijana sana vijana shule hiyo kwa kuweka Ulinzi mkali kwa usimamizi, ufanyaji wa mitihani, baadhi ya wajumbe kutoka NECTYA Walishiriki kikamilifu kusimamia exam shuleni hapo. nasema walishiriki kusimamia, kuchunguza na kuzuia kila aina ya Ujanja, walifikia hata kuwasachi kabla ya exam. matokeo yake wanafunzi waliofanya Exam matukio yao sio mazuri.(naamini hata NECTA kwa hili hawatakanusha).
lKN sijui kama NECTA hufanya mkakati kama huu ktk shule ambazo huwa zinaongoza hasa za seminary? sijui kama wanshtuka akma walivyoshtuka High view? sijui hutumia mkakati kama walivyotumia huko Zenj?

Wacheni kupeleka watoto madrasa, misingi ya binadamu wote injengwa tokea utotoni, Au labda NECTA iwape favor muwe mnafanya mitihani mnachofundiswa madrasa.
 
Wacheni kupeleka watoto madrasa, misingi ya binadamu wote injengwa tokea utotoni, Au labda NECTA iwape favor muwe mnafanya mitihani mnachofundiswa madrasa.

Muhogomchungu anasema kwa uchungu,hata hivyo ayasemayo yaweza kuwa na ukweli.
Naangalia tunapopambana kwa hoja na hawa wanaosoma seminary mara nyingi sisi wa madrasa huwa tunaibuka videdea.Hawa watu wa seminary huwa wanaishia kurusha mawe kwa kukimbilia polisi.
 
Seminarini,mnafundishwa kikwelikweli,mwalimu afikirii mshaara wake utalipwa lini,mwanafunzi afikirii,kama atakula nini au maji ya kuoga yatapatikana wapi.Kila mwanafunzi ana vitabu vyoote vinavyotakiwa kwa mujibu wa syllabus,na mazingira ni mazuri,Seminarini akuna kwenda club au kuruka ukuta kwenda Bar.
Seminarini mnafundishwa ofu ya kumwogopa Mungu na kutii mamlaka,
Iliwai tokea Maua Seminary Moshi Miaka ya 80 mwishoni Kijana mmoja alipata A katika masomo karibuni yote,NECTA awakuamini wakamtungia yule kijana Mitihani yote mipya wakamsimamia wao wenyewe apo Dar.. Yule dogo akaongeza A nyingine kutoka katika hiyo mitihani aliotungiwa.Huu sio uzushi kwani ata mimi nimesoma Seminary.Seminary yetu Mwalimu wa Form One term ya kwanza nzima alikuwa bize kutafuta wanaotazamia wenzao wakati wa Test.Ilikuwa ni kwamba Ukikamatwa tu akuna lingine unafukuzwa shule apo apo!sisi tuliingia 35 form one lakini Form 4 tulimaliza 28.
Seminarini akuna longolongo.
Ata hizi shule kama Mirian au st Francis sio mchezo wanafunzi awachezi Kiduku,wanapiga kitabu
 
huo ni ushahidi au story.mimi nimesoma mojawapo ya shule hizo kuanzia form 1-6, naomba ni kuhakikishie, faulo nimekuja kuzikuta chuo.
 
wana JF ...tuwe makini.... DOWANS watalipwa pesa hivi hivi....... tunazugwa na hawa jamaa ili tusahau ya DOWANS
 
huo ni ushahidi au story.mimi nimesoma mojawapo ya shule hizo kuanzia form 1-6, naomba ni kuhakikishie, faulo nimekuja kuzikuta chuo.

ok, lkn bada ya necta kuona wazenj hawa wamefaulu na kukaribia tu kama seminary, necta iliruka, ikashtuka, ikavalia njuga. jee na huku smeinary ndio hivyo
 
Sasa hiyo shule ya mamwivyi kuna connection gani? haya mbona walishayafanya muda murefu ili kuweka ulinzi na madogo wakakamua tu. madogo seminary wnakamua mkuu we jaribu siku moja upite muda wa darasa utafikiri makaburini kulivyokimya, nyie wengine muda wa kusoma mko busy na pooltable game na kutafuna mirungi hafu useme tunasolve mtihani kabla?
 
JK noma kweli, yaani hii mbegu yako ya udini imechakachua akili za waislamu wenzako kiasi wanaonekana vituko, haya lalamikeni tu sisi watoto wetu wanapeta.Peaneni vyeo vya kisiasa sisi hatujali, wataalamu watabaki kuwa watu wenye elimu za kusoma darasani.Ila nashukuru kuwa siyo waislamu wote wamemezwa na sera hii ya udini ndiyo maana waislamu wenye akili timamu wanapeleka watoto wao kwenye seminary za kikristo na wanafanya vizuri tu.SHAURI YENU MTAKUFA NA VIJIBA VYA ROHO. HONGERA WAISALAMU WALIOUNA ULAGHAI WA CCM WA KUWATUMIA WAISLAMU KAMA NYENZO YAO YA KUBAKI MADARAKANI NA KUENDELEA KUTUFUKARISHA.
 
Muhogomchungu anasema kwa uchungu,hata hivyo ayasemayo yaweza kuwa na ukweli.
Naangalia tunapopambana kwa hoja na hawa wanaosoma seminary mara nyingi sisi wa madrasa huwa tunaibuka videdea.Hawa watu wa seminary huwa wanaishia kurusha mawe kwa kukimbilia polisi.

Kiwango cha kumpima mwanafunzi yoyote kama ameelewa kinachotumika dunia nzima siyo mapambanisho ya hoja. Ni Exams pekee.
 
Hata huko zenji jina lakifanana na John basi unapasi vibaya sana.
 
KAMA WEWE NI MDAU MZURI WA ELIMU kaombe mchuano wa seminary vs High view sec, mtihani utunge wewe na mshahihishaji uwe wewe mwenyewe, uchakachue utakavyo kisha utoe matokeo. Nilipokuwa sec mara kwa mara tulifanya mitihani ya pamoja na hizo seminary kwa hiyo hawatakukatalia.

Sasa hiyo shule ya mamwivyi kuna connection gani? haya mbona walishayafanya muda murefu ili kuweka ulinzi na madogo wakakamua tu. madogo seminary wnakamua mkuu we jaribu siku moja upite muda wa darasa utafikiri makaburini kulivyokimya, nyie wengine muda wa kusoma mko busy na pooltable game na kutafuna mirungi hafu useme tunasolve mtihani kabla?

jee wanapoingia vyuoni mbona bogas?
 
Seminarini,mnafundishwa kikwelikweli,mwalimu afikirii mshaara wake utalipwa lini,mwanafunzi afikirii,kama atakula nini au maji ya kuoga yatapatikana wapi.Kila mwanafunzi ana vitabu vyoote vinavyotakiwa kwa mujibu wa syllabus,na mazingira ni mazuri,Seminarini akuna kwenda club au kuruka ukuta kwenda Bar.
Seminarini mnafundishwa ofu ya kumwogopa Mungu na kutii mamlaka,
Iliwai tokea Maua Seminary Moshi Miaka ya 80 mwishoni Kijana mmoja alipata A katika masomo karibuni yote,NECTA awakuamini wakamtungia yule kijana Mitihani yote mipya wakamsimamia wao wenyewe apo Dar.. Yule dogo akaongeza A nyingine kutoka katika hiyo mitihani aliotungiwa.Huu sio uzushi kwani ata mimi nimesoma Seminary.Seminary yetu Mwalimu wa Form One term ya kwanza nzima alikuwa bize kutafuta wanaotazamia wenzao wakati wa Test.Ilikuwa ni kwamba Ukikamatwa tu akuna lingine unafukuzwa shule apo apo!sisi tuliingia 35 form one lakini Form 4 tulimaliza 28.
Seminarini akuna longolongo.
Ata hizi shule kama Mirian au st Francis sio mchezo wanafunzi awachezi Kiduku,wanapiga kitabu

Hata mimi pia nina mwanangu alimaliza madrasa halafu akaingia chuoni MLIMANI,alikuwa anachukua masomo ya uhandisi basi mtihani wa mwisho akapata A+ zote akatungiwa mwengine ikawa hivyo hivyo.
Huyu amefanya hivyo pamoja na kwamba shuleni alikokuwa akisoma hakukuwa na pesa za kifisadi za MOU zinazohakikisha upatikanaji wa maji ya kuoga n.k.Naamini kama ingekuwa serikali haidhibitiwi na kanisa basi seminary za kikristo wala wasingeweza kufua dafu kwetu tunaosoma madrasa.
 
Back
Top Bottom