Nungunungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2007
- 311
- 13
Kwa wadini,
Ni kweli seminari za Kikristo zinaongoza na zitaendelea kuongoza kwa kipindi fulani kijacho. Waislam wanapaswa kulitambua hilo. Ni ukweli pia kuwa idadi ya wasomi waislam inaongezeka kwa kasi kadri miaka inavyokwenda. Wakristo wanapaswa kulitambua hilo. Anayetaka idadi ya waislam wasomi iwe sawa na wakristo ndani ya muda mfupi anajidanganya na anayedhani kwamba waislam wa miaka ya 60 ndio hawa wa 2010 anajidanganya. The equation is slowly balancing.
Kwa wazalendo,
Wanaosoma kwenye shule za kidini ni sehemu ndogo sana ya wanafunzi wote. Msiba ni kuwa wanafunzi 40, 388 (11.5%) ndio wamepata division I - III tofauti na mwaka jana 42, 672. Kuna wenzetu wanashangilia matokeo haya!