Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Catholic Supremacy!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe upo mbeya kwani the_legend, mbeya ni muda sans sijarudi tangu nimalize elimu yangu ya O level pale seminari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siko Mbeya mkuu, wala sijawahi hata kukaa. Ila enzi hizo nlisomaga pia Seminary ya jimbo (kuanzia form 1 mpaka 6). Ilikua kila wakati wa likizo kuna siku maalumu ya wiki waseminari tunakutana kwa VD (mkurugenzi wa miito wa jimbo), na hapo tukawa tunakutana na waliotoka seminari mbali mbali, ikiwemo Mbalizi. Ndo chanzo cha kuzifahamu seminari karibu zote

the Legend☆
 
Wana masharti hao hatari hatari , ndiyo maana wanafunzi wa pale ST FRANCIS wanafanya vizuri, mchujo wao wa kuingia sekondari wanakamata wale smart students tu kwa muktadha huo lazima ST FRANCIS ifanye vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, hawataki kabisa kuchkua vilaza wa kuchafua jina lilojengeka miaka mingi

the Legend☆
 
HIYO ST FRANCIS YA MBEYA NI SHIDA MIAKA YOTE, NI YA WASICHANA, SEMA HUWA WANACHUKUA WANAFUNZI WENYE UWEZO KWENYE MCHUJO WAO,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wanachuja sana, mi nina kijana pale alipenya lakini mmhh...na wana jeuri ukiingia hutoki wao wanasema watakunyoosha tu na wanachukua 92 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…