Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
Mkuu wahimize wanao wasome kwa bidii na uwekeze kwenye elimu yao vinginevyo utabaki na mfumo kristo milele maana wkt mnahangaika na mfumo wenzenu wanazidi kuwekeza,nilitegemea mwaka huu walao pawepo na tofauti lkn naona bado mnalalama tu.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Tatizo badala ya kukubali na kupenda kujifunza kutoka kwa walioweza wao hujikaza vichwa na kuendelea kulalamikia mfumo huku wakiendelea kuachwa mbali
 
Hizo seminary hivi mtoa mada unajua uwa zinawanafunzi wangapi?
So unataka kutuaminisha RC-ROMAN CATHOLIC wanaakili kuliko wengine?
Acha fikira za ushoga na huo uRC wako

Tutazidi kuwabeza na kuwatukana (hawa Wakristo) ila ujumbe huo kwetu umefika... tuufanyie kazi.. tuwekezeni kwenye Elimu. Hawa jamaa wanachanja mbuga wakati sisi tutabakia kulalamika miaka yote.
 
Be careful on religious issue all schools you had mentioned are well managed.Feza is managed by muslim and is performing well.Look at what is happening at CAR and learn something there.Watu wanachinjana kwa sababu ya dini!
 
Udini udini udini! Fanyeni kazi

"Una nyumba ya kuishi lakini hauna familia & una vitabu vya kusoma lakini hauna ufahamu"
Ninachomaanisha ni mfumo mzima wa maisha: watoto wanaamishwa chuki,kwamba tumefika hapa kwa ajili ya dini fulani.
Upande mwingine wanaandaa watoto ktk misingi ya elimu kwamba ndio nguzo pekee ya kujitegemea.
Lazima kutakua na tofauti hapo sio tu uwezo darasani bali hata kifikra..!!!
 

Nimependa jinsi ulivyohitimisha hoja yako lakini bado nina neno.
Hao wote waliohangaika kubadilisha majina ili wasome ni mfano dhahiri kuwa huko kwenye asili ya majina yao hawakuona haja ya kuwekeza kwenye elimu(ya dunia) ndio maana wanaifuata inakopatikana.
Wangewekeza yasingetokea haya ya kulalamika na kuonewa kila leo
 
Huu ni mkakati wa Kanisa Catholic na utaendelea kwa
mda mwingi ujao hapa nchini; it is very unfortunate.
Ushahidi wa uchakachuaji ni pale hao walioongozwa
kupata hizo grades 1 ni pale wanapo maliza masomo
yao na kupewa hivyo vyeo vya juu ni kwamba
hawawezi kuleta contribution ye yote for the
development of the nation. Angalia maofisi yote
ambamo watu kama hawa wamepachikwa utajionea
mwenyewe.
 

Nadhani wale walioondoa iman kuwa tabaka fulani linaonewa wamepigahatua kwa kujifunza kwa wao lakin ukiamin unaonewa huwez fanya lolote. Mfano tu angalia zamani watu wa miko mingine walikuwa na iman kuwa wachaga wanapendelewa kwenye ajira na mambo kadhaa lakin wanalalamika halafu hawanaqualifications zinazowasoport kukalia vitengo, hilo lilinipa hasira ya kusoma na kujiweka fit kwenye kada yangu halaf nione kama kweli, kiukweli nimefanikiwa kufuta iman ya kipuuzi kama ile ya mwanzo.Ushauri tu kwa waislam:
1.Someni mpatapofursa
2. Mambo ya dini yapewe muda, na mambo ya elim dunia yapewe muda wa kutosha pia
3.Ondoa iman kuwa unaonewa au kunawatu wanapendelewa kwan sidhan km unawezajaza jibu sahih ukakoseshwa au mwingine akaweka uwongo akapatishwa kisa ni mkristo
4.Acha ubaguzi wa kiimani hasa kwa mambo yanayohusu maendeleo ya kielim,usiogope kujifunza mbinu kutoka kwa wengine.
 
Tz bhana div iv points 36 inaongoza kidunia watakaofuata watakuwa wameiga tutoka Tz. Nadhani matokeo ya mwaka huu ufaulu utapanda zaidi maana div - III itakuwa kuanzia pointi 35 ili linawezekana kama matokeo ya mwaka jana div - III imeanzia point 25 kwa nini matokeo ya mwaka huu isiwe vile? Kwa ufaulu huu wa kulazimishwa kwa wale walipata div - O wana lao jambo hawabebeki aiseeeee! Kamwe wanangu elimu ya sekondari lazima wakasome nje ya nchi namuomba M/Mungu anijalie mema katika kazi zangu za kila siku ili wanangu wasije pata elimu duni ya TZ ya div- 5.
 

Nani aliyekudanganya degree, masters na phd zinaleta maendeleo ya nchi?
 
Tatizo lipo,wanatuaminisha mungu wa katoliki ana akili nyingi,lakini sasa mbona wadanganyika mafukara na ombaomba.
sasa si iko staged ili waislamu wajisikia inferior.

Kama dini yao ndo inawafanya wawe na akili wasome na wapate ajira kwanini makazini hawapeform?ama mungu wa wakatoliki ni specialy kwa mitihani ya necta tu ,basi.
 
Hizo seminary hivi mtoa mada unajua uwa zinawanafunzi wangapi?
So unataka kutuaminisha RC-ROMAN CATHOLIC wanaakili kuliko wengine?
Acha fikira za ushoga na huo uRC wako

nenda lutheran seminary kisarawe uone kizaizai
 
Nani aliyekudanganya degree, masters na phd zinaleta maendeleo ya nchi?
sasa huyo mungu wa kikatolic anapowavuvia akili za kushinda nectar si awape na za kufanikiwa.

Mungu wa kushinda necta only is a useless one.
 

Punguza jazba mkuu..
Dhumuni & mikakati ya kanisa ktk seminary ilikua ni kuanda watumishi wa kanisa watakaokuja kuongoza pamoja na kuendeleza kanisa ktk misingi & sheria za kanisa na hadi leo mkakati unaendelea.
Vile vile ni hiari ya mtu kujitolea kulitumikia Kanisa pale anapohitimu masomo yake,harazimishwi..!!!
kulingana na elimu bora inayotolewa huko,baadhi ya watu wakangeuka wakafuata elimu na sio manufaa ya Kanisa.
Na hata hii serikali ya Tz (security service) ilianza kufuata watu huko kwa ajili ya kulitumikia taifa...
Sasa inapaswa kujiuliza kwa nini hao na sio hawa.!!!
Kulalamika hakusaidi kitu zaidi ya kupanga mikakati endelevu.
 
hawa wanaseminary watakua wanapata mitihani kabla ya siku ya kufanya mtihani husika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…