Mkuu wahimize wanao wasome kwa bidii na uwekeze kwenye elimu yao vinginevyo utabaki na mfumo kristo milele maana wkt mnahangaika na mfumo wenzenu wanazidi kuwekeza,nilitegemea mwaka huu walao pawepo na tofauti lkn naona bado mnalalama tu.namba wanatoa baraza la mitihani, majibu wanatoa wao na kila mwanafunzi taarifa zake zipo baraza la mitihani, watashindwaje kuchakachua watakavyo? mfumo huu ihaukubaliki hata kidogo, hii ni dhulma kubwa wanayofanyiwa muslims, ila naamin kila jambo lina mwisho.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums