Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
Swali hilo bado linakujia kichwani mpaka zama hizi? Mngeacha haya;
View attachment 140887
Na mkafanya hivi kwa watoto wenu.
View attachment 140888

Msingekuwa na haja ya kuilalamikia NECTA isiyo na kosa lolote kwa watoto wenu

Kijana jaribu kutumia.kichwa kufikiri!
Unatuwekea picha za watoto wa kizungu na wahindi kwa sababu mungu wako mzungu sio?

Huta hata aibu kuficha watoto wetu wa kiafrika. Kwa kuona haya kuwa labda hawatopendeza kama hao wakoloni!

Huyo.mtoto mwenye ak47 ni soldier!
Si wale.watoto wa.mama wanaofundishwa kupaka.wanja wakamfurahishe bwana mchungaji!

Unajifanya kusahau kuwa Lord resistance Army ya Uganda iliokuwa inapigana kwa JINA LA YESU ilikuwa inateka nyara watoto!
Na wale wa kike walikuwa kwa ajili ya kuwanajisi na kuwabaka!
Wale wa kiume walilawitiwa na kulazimishwa kujio.muhanga kwa.jina la Yesu!

Na walichinja na kuua ma alfu ya watu wasio na hatia!

Huyo mtoto ANAPIGANIA NCHI YAKE!

Eti leo.unajifanya kuwa wagalatia wana busara na waislamu.si kitu!

Jaribu kudanganya wajinga!
Wengi wetu humu jf tumekwenda shule!
 
sasa si iko staged ili waislamu wajisikia inferior.

Kama dini yao ndo inawafanya wawe na akili wasome na wapate ajira kwanini makazini hawapeform?ama mungu wa wakatoliki ni specialy kwa mitihani ya necta tu ,basi.

Mkuu una ushahidi gani kuwa makazini hawaperform. Mimi naweza kisema wanaperform sana na nikakupa mfano tu wa wafanyakazi katika hizo shule zilizoongoza hapo. Hao wote wameperform kwa kiwango cha juu sana na hilo halijajificha.
 
Mkuu una ushahidi gani kuwa makazini hawaperform. Mimi naweza kisema wanaperform sana na nikakupa mfano tu wa wafanyakazi katika hizo shule zilizoongoza hapo. Hao wote wameperform kwa kiwango cha juu sana na hilo halijajificha.
hao walimu wanaofundisha seminary wana kipi cha tofauti na wafundishao bwiru girls?.isijekuwa kanisa katolic lina michongo ya kupata paper kabla mitihani haijafanywa.
 
shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote [/QUOTE]
 
akina hamis, juma, abubakar na abduli, wako wapi?

ina maana wao hawana shule ama hawana wanafunzi wenye akili?

by the way, imam mkuu, mr simba, alisema wasomeshe watoto wao sijui kama walielewa?
 
Mawazo ya michongo ni mufilisi sana. Cha msingi hapa naona vitu vinavyochangia mafanikio yao ni NIDHAMU ya wanafunzi, motisha kwa walimu, usimamizi mzuri wa shule, malazi chakula na mambo kama haya. Ukiwaza michongo hufiki popote. Hata ukipata paper kama hukujiandaa hakatwi mtu.
hao walimu wanaofundisha seminary wana kipi cha tofauti na wafundishao bwiru girls?.isijekuwa kanisa katolic lina michongo ya kupata paper kabla mitihani haijafanywa.
 
hii threadsio nzuri imekaaa kidini zaidi
 
akina hamis, juma, abubakar na abduli, wako wapi?

ina maana wao hawana shule ama hawana wanafunzi wenye akili?

by the way, imam mkuu, mr simba, alisema wasomeshe watoto wao sijui kama walielewa?

Hao kina hamisi ndio hao hao kuanzia Rais wako. AGP. makamo wa rais! Na mawaziri wengine kedekede!

Au ulitaka mpaka mwanao aolewe na juma ndio uwaone!?
 
Hii taarifa/takwimu za kusema wana maisha mabovu mitaani wamezitoa wapi au wanaongea kwa kujifurahisha

eti analalamika kuwa, watoto wa shule za seminary wanasoma lakini hawawaletei maendeleo! kweli ni sawa hii mkuu, hata raisi wetu kapeleka maendeleo kwenye familia yake! kila mtu anakula kwa ulefu wa kamba yake na familia yake. then wanakuja na hoja ambazo hazina suporting facts, eti wamesoma lakini maisha yao mabovu so wao hawawasomeshi watoto kwa kuofia kuwa elimu ndio chanzo cha maisha kuwa mabovu? ni mitazamo ya kijinga
 

dada yangu hawa watu wamezoea kulalamika tu, kipindi nasoma msingi nilikuwa nasoma na msichana alikuwa rafiki, alikuwa si mtu wa kufanya vizuri dalasani bt alipata nafasi ya kusoma st fransis, alibadilika kuanzia taaluma hadi tabia yaani hata wazazi wake walishangaa na alikuwa ananipiga pindi/tuition ya nguvu coz mi nilikuwa nasoma gvnmnt na kwa bahati nzuri tumekutana chuo kimoja, kwenye ukweli inabidi tukubali kuwa hizi shule zilizoolozeshwa hapo ni first class academicaly
 

ha ha ha Tafuta elimu hata kama ni china.we are striving beyond that.
 
Sababu hazikosi, tusilalamike tuongeze bidii tutavuka.Malalamiko hudumaza akili na maendeleo yetu tukiyaendekeza.
 
akina hamis, juma, abubakar na abduli, wako wapi?

ina maana wao hawana shule ama hawana wanafunzi wenye akili?

by the way, imam mkuu, mr simba, alisema wasomeshe watoto wao sijui kama walielewa?

Wako kule bongo flavor wakina mwakochi,almasi,chidigari,Ali baki na wengine kibao wanascore first division tu...
 
mikazó;8774876 said:
hizo ZOTE NI BANGE TU ZINAKOSUMBUA,UNAVUTA BANGE HALAFU UNALETA UPUMBAFU WA UDINI HAPA

We hujui kuwa bangi ni zao lililo anzishwa na taifa teule!
 
akina hamis, juma, abubakar na abduli, wako wapi? ina maana wao hawana shule ama hawana wanafunzi wenye akili? by the way, imam mkuu, mr simba, alisema wasomeshe watoto wao sijui kama walielewa?
akili MBOVU HIYO INATOKANA NA BANGE ZAKO UNAZOVUTA HUKO VICHAKANI,USILETE MAMBO YAKO YA BANGE HAPA,UKISHAKUNYWA HZO BANGE ZAKO UNAWAZA KULETA CHUKI ZA KIDINI HAPA,PELEKA BANGE ZAKO HUKO KWA WAVUTA BANGE WENZAKO
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…