Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
kuwa na wakristo wengi katika elimu n.k ni mfumo tangu kipindi cha ukoloni. watu wa dini zingine na hasa waislam ilikuwa shida kupata elimu. na hata hao waliopata ilikuwa ni kwa mizengwe, mfano mzuri tu ni Rais Kikwete ambaye yupo madarakani sasa hivi. ilibidi abadilishe jina na kuitwa SAMWEL LUHANGA ili shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote ziweze kumkubali. wapo wengi, hata Marehemu Prof. Kighoma Malima alipitia huko.
wakati akijiunga na chuo alikuwa anajulikana kama Kighoma Malima lakini alipoambiwa aandike majina 3 akaandika Ali mwaka huo alinyimwa nafasi. akaendelea kupambana mwaka uliofuata ndo wakamchuka tena kwa mbinde.
Kumbe JK alianza usanii siku nyingi!Ukweli ni kuwa uteuzi wa wakuu wa shule za kiislam ndio kikwazo.Unakuta Shehe
anamfanyia interview mwalimu wa physics.
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki.
Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora.
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera), 9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani) na 10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya). Wanafunzi wengi ni wakristo. Hapa naona naona wakristo wakiendelea kutawala kielimu.
namba wanatoa baraza la mitihani, majibu wanatoa wao na kila mwanafunzi taarifa zake zipo baraza la mitihani, watashindwaje kuchakachua watakavyo? mfumo huu haukubaliki hata kidogo, hii ni dhulma kubwa wanayofanyiwa muslims, ila naamin kila jambo lina mwisho.
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki.
Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora.
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera), 9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani) na 10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya). Wanafunzi wengi ni wakristo. Hapa naona naona wakristo wakiendelea kutawala kielimu.
Hawa watoto wanasali novena.....si buree...God Is able..very proud Remote
Swali hilo bado linakujia kichwani mpaka zama hizi? Mngeacha haya;
View attachment 140887
Na mkafanya hivi kwa watoto wenu.
View attachment 140888
Msingekuwa na haja ya kuilalamikia NECTA isiyo na kosa lolote kwa watoto wenu
Kuna taarifa kutoka chanzo cha ndani ktk moja ya shule hizo, ni kwamba shule nyingi za katoliki wananunua mitihani na kuwajazia wanafunzi wao.
Hatujifunzi kwa makafiri sisi!!!
Hapo mkuu nimekupata, ungekuwa unachangia kwa uwezo huu siku zote inakuwa safi. Tatizo lako lingine mada za udini zinakutoa ufahamu kabisa.