dah, sasa necta inawakandamizaje waislam jamani,
Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!
Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!
Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!
Si kukurupuka tu na kuongeza points!
Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!
Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!
Swali hilo bado linakujia kichwani mpaka zama hizi? Mngeacha haya;
View attachment 140887
Na mkafanya hivi kwa watoto wenu.
View attachment 140888
Msingekuwa na haja ya kuilalamikia NECTA isiyo na kosa lolote kwa watoto wenu
Usimwamshe Aliyelala, au utalala wewe.
Signature yako ina akisi comment yako:"if someone puts his hand on you, send him to the cemetery". Pole!
haa lkn ndAlichako c hayupo tena? nan anawabeba?
Swali hilo bado linakujia kichwani mpaka zama hizi? Mngeacha haya;
View attachment 140887
Na mkafanya hivi kwa watoto wenu.
View attachment 140888
Msingekuwa na haja ya kuilalamikia NECTA isiyo na kosa lolote kwa watoto wenu
Hatujifunzi kwa makafiri sisi!!!
ni ngumu FaizaFoxy na arab skunk kahtaan kukuelewa!!
Kanisa linastahili pongezi kwenye suala la elimu lakini the primary purpose ya kanisa ni kufikisha watu mbinguni, tathmini ikoje kwenye hilo?yes...
kati ya hizo shule 10 za katoliki ni 9... very nice my church am so proud to be a CATHOLIC
Kanisa linastahili pongezi kwenye suala la elimu lakini the primary purpose ya kanisa ni kufikisha watu mbinguni, tathmini ikoje kwenye hilo?
Hiyo ya shehe kumfanyia interview mwalimu wa physics nimecheka sana.kuwa na wakristo wengi katika elimu n.k ni mfumo tangu kipindi cha ukoloni. watu wa dini zingine na hasa waislam ilikuwa shida kupata elimu. na hata hao waliopata ilikuwa ni kwa mizengwe, mfano mzuri tu ni Rais Kikwete ambaye yupo madarakani sasa hivi. ilibidi abadilishe jina na kuitwa SAMWEL LUHANGA ili shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote ziweze kumkubali. wapo wengi, hata Marehemu Prof. Kighoma Malima alipitia huko.
wakati akijiunga na chuo alikuwa anajulikana kama Kighoma Malima lakini alipoambiwa aandike majina 3 akaandika Ali mwaka huo alinyimwa nafasi. akaendelea kupambana mwaka uliofuata ndo wakamchuka tena kwa mbinde.
Kumbe JK alianza usanii siku nyingi!Ukweli ni kuwa uteuzi wa wakuu wa shule za kiislam ndio kikwazo.Unakuta Shehe
anamfanyia interview mwalimu wa physics.
Kuna taarifa kutoka chanzo cha ndani ktk moja ya shule hizo, ni kwamba shule nyingi za katoliki wananunua mitihani na kuwajazia wanafunzi wao.
Hapo kwenye red sina nia ya kupingana na maono yako. Ninachojiuliza ni mpaka lini serikali itaachia hali hii indelee? Si kwa kubana shule zinazofanya vizuri bali kwa kuboresha shule nyingine za serikali na za kata. Kwa utajiri tuliokuwa nao Tanzania (Mali asili) hakuna sababu ya kutokuwa na mkakati maalum wa elimu ambao utawapa fursa sawa watoto wetu wapate elimu nzuri. Hizo shule hapo juu ni za gharama ya juu kwa wazazi wengi na kwa wazazi wengine issue inaweza kuwa ni shule za dini fulani hata kama zinapokea watoto wa dini zote kwa ujumla. Uchaguzi unakuja mwakani tunataka raisi mwenye sera zipi kuhusu elimu na ujengaji wa mifumo bora? Kwenye katiba inayotengenezwa tutasimamia vipi elimu, mifumo, na rasilimali zetu? Kuna maelfu ya watoto wetu tumewatupa kwenye elimu mbovu na huko wako wakristo wengi tu, waisilamu wengi tu, wapagani wengi tu. Tutajikomboa vipi????
Kanisa linastahili pongezi kwenye suala la elimu lakini the primary purpose ya kanisa ni kufikisha watu mbinguni, tathmini ikoje kwenye hilo?
Hapa ni lazima TRA iweke mashine za EFD kwenye hizo shule za mashirika ya dini na za watu binafsi kwani zimeshindwa kutumia misamaha ya kodi kutoa huduma kwa watanzania wa aina zote; yaani wenye IQ kubwa na IQ ndogo,wanawatumia wanafunzi wenye IQ kubwa kufanya Elimu kuwa biashara tena isiyokua na udhibiti.
Wamesahau kuwa watoto wenye uelewa mdogo na uelewa mkubwa wote wanahitaji elimu bora.
Na hii ni janja tu kwani sio kweli kwamba padri au sister mwenye wito wa kumtumikia Mungu ni yule anayefaulu masomo ya darasani kwa kuwa na maksi za juu.
Nasema walipe kodi ili tuajiri walimu bora, tununue madawati,tujenge maabara, tutoe motisha kwa hawa walimu wa shule za kina kayumba wanaotumia muda mwingi kujaribu kuwafundisha wanafunzi hata wale wenye IQ ndogo bila kuwafukuza mana hawana pa kwenda.
Pamoja na nidhamu, ufuatiliaji, motisha kwa walimu, mazingira mazuri ya kujisomea, shule zote zinazofanya vizuri zinawachuja wanafunzi kupita kiasi kuhakikisha wale wanaofanya vizuri tu ndo wanafanya mitihani kupitia shule hizo na maksi za chini kwa mitihani shuleni ni 65%. Pia angalia walivyo makini kwenye selection. Marian wanafanya mtihani wanfunzi karib 4000 wanachagua 100 na akitetereka anaambiwa ahame shule haiwezi.
kuwa na wakristo wengi katika elimu n.k ni mfumo tangu kipindi cha ukoloni. watu wa dini zingine na hasa waislam ilikuwa shida kupata elimu. na hata hao waliopata ilikuwa ni kwa mizengwe, mfano mzuri tu ni Rais Kikwete ambaye yupo madarakani sasa hivi. ilibidi abadilishe jina na kuitwa SAMWEL LUHANGA ili shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote ziweze kumkubali. wapo wengi, hata Marehemu Prof. Kighoma Malima alipitia huko.
wakati akijiunga na chuo alikuwa anajulikana kama Kighoma Malima lakini alipoambiwa aandike majina 3 akaandika Ali mwaka huo alinyimwa nafasi. akaendelea kupambana mwaka uliofuata ndo wakamchuka tena kwa mbinde.
Kumbe JK alianza usanii siku nyingi!Ukweli ni kuwa uteuzi wa wakuu wa shule za kiislam ndio kikwazo.Unakuta Shehe
anamfanyia interview mwalimu wa physics.