Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!

Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!

Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!

Si kukurupuka tu na kuongeza points!

Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!

Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!

Like, Like!
 
ni ngumu FaizaFoxy na arab skunk kahtaan kukuelewa!!

We myahudi mtolewa mapepo!

Mimi humuelewa mtu anaweza kueleweka! Sio kila mropokaji ntaweza kumuelewa!
Mfano mzuri ni wewe ambae mama na baba wote wahaya halafu wewe unajiita myahudi! Na unaabudu picha ya mzungu!
Halafu unategemea mimi nikuelewe!!?

Hapo tutakesha tu! Lkn kukuelewa sintoweza!
 
yes...
kati ya hizo shule 10 za katoliki ni 9... very nice my church am so proud to be a CATHOLIC
Kanisa linastahili pongezi kwenye suala la elimu lakini the primary purpose ya kanisa ni kufikisha watu mbinguni, tathmini ikoje kwenye hilo?
 
kuwa na wakristo wengi katika elimu n.k ni mfumo tangu kipindi cha ukoloni. watu wa dini zingine na hasa waislam ilikuwa shida kupata elimu. na hata hao waliopata ilikuwa ni kwa mizengwe, mfano mzuri tu ni Rais Kikwete ambaye yupo madarakani sasa hivi. ilibidi abadilishe jina na kuitwa SAMWEL LUHANGA ili shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote ziweze kumkubali. wapo wengi, hata Marehemu Prof. Kighoma Malima alipitia huko.
wakati akijiunga na chuo alikuwa anajulikana kama Kighoma Malima lakini alipoambiwa aandike majina 3 akaandika Ali mwaka huo alinyimwa nafasi. akaendelea kupambana mwaka uliofuata ndo wakamchuka tena kwa mbinde.

Kumbe JK alianza usanii siku nyingi!Ukweli ni kuwa uteuzi wa wakuu wa shule za kiislam ndio kikwazo.Unakuta Shehe
anamfanyia interview mwalimu wa physics.
Hiyo ya shehe kumfanyia interview mwalimu wa physics nimecheka sana.
 
Kuna taarifa kutoka chanzo cha ndani ktk moja ya shule hizo, ni kwamba shule nyingi za katoliki wananunua mitihani na kuwajazia wanafunzi wao.

Hiyo si kweli hata nukta na kama ni kweli leta chanzo.
 
Hapo kwenye red sina nia ya kupingana na maono yako. Ninachojiuliza ni mpaka lini serikali itaachia hali hii indelee? Si kwa kubana shule zinazofanya vizuri bali kwa kuboresha shule nyingine za serikali na za kata. Kwa utajiri tuliokuwa nao Tanzania (Mali asili) hakuna sababu ya kutokuwa na mkakati maalum wa elimu ambao utawapa fursa sawa watoto wetu wapate elimu nzuri. Hizo shule hapo juu ni za gharama ya juu kwa wazazi wengi na kwa wazazi wengine issue inaweza kuwa ni shule za dini fulani hata kama zinapokea watoto wa dini zote kwa ujumla. Uchaguzi unakuja mwakani tunataka raisi mwenye sera zipi kuhusu elimu na ujengaji wa mifumo bora? Kwenye katiba inayotengenezwa tutasimamia vipi elimu, mifumo, na rasilimali zetu? Kuna maelfu ya watoto wetu tumewatupa kwenye elimu mbovu na huko wako wakristo wengi tu, waisilamu wengi tu, wapagani wengi tu. Tutajikomboa vipi????

Hapa ni lazima TRA iweke mashine za EFD kwenye hizo shule za mashirika ya dini na za watu binafsi kwani zimeshindwa kutumia misamaha ya kodi kutoa huduma kwa watanzania wa aina zote; yaani wenye IQ kubwa na IQ ndogo,wanawatumia wanafunzi wenye IQ kubwa kufanya Elimu kuwa biashara tena isiyokua na udhibiti.
Wamesahau kuwa watoto wenye uelewa mdogo na uelewa mkubwa wote wanahitaji elimu bora.
Na hii ni janja tu kwani sio kweli kwamba padri au sister mwenye wito wa kumtumikia Mungu ni yule anayefaulu masomo ya darasani kwa kuwa na maksi za juu.
Nasema walipe kodi ili tuajiri walimu bora, tununue madawati,tujenge maabara, tutoe motisha kwa hawa walimu wa shule za kina kayumba wanaotumia muda mwingi kujaribu kuwafundisha wanafunzi hata wale wenye IQ ndogo bila kuwafukuza mana hawana pa kwenda.
 
Pamoja na nidhamu, ufuatiliaji, motisha kwa walimu, mazingira mazuri ya kujisomea, shule zote zinazofanya vizuri zinawachuja wanafunzi kupita kiasi kuhakikisha wale wanaofanya vizuri tu ndo wanafanya mitihani kupitia shule hizo na maksi za chini kwa mitihani shuleni ni 65%. Pia angalia walivyo makini kwenye selection. Marian wanafanya mtihani wanfunzi karib 4000 wanachagua 100 na akitetereka anaambiwa ahame shule haiwezi.

Nakubali kabisa kwamba nidhamu na hayo mengine ni sababu tosha ya kufanya vizuri si tu kwenye kufaulu mitihani ya darasani bali katka mambo yote.
Ninachokataa ni kwamba hao wanaokataliwa kwa kigezo cha mchujo nje ya utaratibu wa wizara ya elimu wao waende wapi kupata elimu bora?
Kwa kua kila nyanja ya maisha inahitaji nidhamu ni kwa kwanini wasiangalie vipaji vingine walivyonavyo hawa wanaopata chini ya 60% ya maksi za masomo ya darasani,;mfano nidhamu kwenye michezo, music,kuigiza, kutoa huduma bora maofisini,uaminifu n.k?
Hizi shule ni lazima zizibitiwe ili zitumie misamaha ya kodi na sadaka za waumini yaani maprofesa ,wakulima ,wapiga debe na waokota makopo na chupa barabarani kutoa elimu bila kubagua IQ za watoto wao alimradi tu amelipa ada na ana nidhamu kwa walimu wake. Kazi ya shule iwe ni kukuza kipaji alicho nacho mtoto.
 
Hivi huu ufaulu wa hali hii kwa wanafunzi wa SEMINARY SCHOOLS za kina ST..unamaanisha wapo very intelligent au wana ma'agent NECTA?
 
Tatizo ni walimu hawana moyo kufundisha labda mshahara mid ogo??
 
Hivi na watu waliopata div 3 ya 30 wanaendelea na shule ama zitaenda div 1 na 2
 
mkuu sio usanii wala porojo, hiyo ni fact. kipindi cha ukoloni muislam kupata nafasi ya kusoma ilikuwa ni ishu. na lengo lilikuwa kuhakikisha waislam wote wanaritadi. ndo maana serikali ikawa inakusanya kodi kutoka kwa wananchi wote lakini suala la elimu likapewa kanisa, ambapo kiuhalisia unaweza kuona kwa uwazi kabisa lengo lililokusudiwa.
hili la mashehe kuwafanyia interview walimu siwezi kuliongele kwa sababu sina ushahidi. ila hata wewe umeongea maneno matupu. ungeniwekea ushahidi kidogo.
usisahau kuwa bakwata ni tawi la ccm, na wengi hatujui nini makusudio yake. naamini hata wewe hujui ni nini kilichopo nyuma ya hii inayoitwa bakwata.

Back
Top Bottom