Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
mi naamini suala la dini sio ishu sana. mimi mwenyewe nilisoma moja kati ya shule za katoliki ila kiukweli sikuwahi kufuatilia imani yao wala wala mambo yoyote yahusuyo dini yao. na nikasoma nikamaliza o-level vizuri, sasa kama tunataka wadogo zetu wafanye vizuri kama hao wa seminari nafikiri tunatakiwa tujiulize ukiondoa imani na dini yao kwenye hizo shule zao ni kipi tunatakiwa tukikopi kutoka kwao. inaweza ikawa miundo mbinu yao ni mizuri ikiwemo maji, umeme, internet, walimu wako wa kutosha, vitabu vipo na vitu vingine vya kujazia. nafahamu kuna wazazi baadhi hawapendi kuwapeleka watoto wao kwenye shule hizo. kuna shule nyingi ambazo wakristo na waislamu wanaweza kwenda kusoma wakaishi poa na kumaliza salama na pia ni boarding ila Je ndo tujiulize zinafaulisha kama hizo seminari za R.C kama jibu ni hapana sasa hawa wenzetu huwa wanafanya nini mpaka shule zao zinafanya vizuri. tukishagundua kitu wanachofanya wenzetu labda nasi tukichukue hicho tukilete huku kwenye hizi mixed school ambazo, wapagani, wakristo na waislamu wanasoma. tuone kama tutafanikiwa kama wao. mfano hiyo shule ya st. Francis binafsi nilianza kuisikia 2003 ila mpaka leo naona inaendelea kufanya vyema ngazi ya kitaifa. anyway ngoja niishie hapa

Hapo umenena. Mimi nilisoma shule ya kiislam pale Dom. Hata siku moja sikuambiwa nikaswali. Mda wa dini ukifika tunaenda kusali kama iman yetu ilivyo. Waislam na wakristo waliokuwa wanajitolea kusoma walifaulu vizuri. Nikasoma advanced shule ya catholic Majengo moshi. Huwezi jua huyu ni mwislamu huyu mkristo, labda uwe na kiherehere kama cha mtoa mada hapo juu. Nafundisha shule ya serikali, kuna waislamu na wakristo wote wanatendewa haki na wale wanaojitahd mwishowe hufaulu. Mtu wa namna hii ya udini hawezi ongoza jamii. Akiwa headmaster ataweka watu kulingana na dini zao. Upuuzi huo.
 
Hahahaaaaaaaaaa...mkuu Mkirua una maswali mengi sana kwani wewe ni Inspecta General of Police? Nakumbuka nilipokuwa Tanga enzi hizo ilikuwa haipiti mwezi kusikia habari ya maalim wa madrasat amemu-Athuman Maumba mwanafunzi wake.

NB: Wale waliokula chumvi ya kutosha pekee ndiyo wataelewa mwishoni mwa miaka ya 80 Athumani Maumba alifanya nini.

We chekea puani tu. wenzenu wanatafuna kondoo kikweli kweli huku!

m.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/02/140224_kasisi_ulawiti
 
Mada ya kidini/dhehebu imejificha kwenye ELIMU,JF niliipenda,naipenda na ningependa niendelee kuipenda (ila kuna membaz wengine wanaichafua ila ''moderators'' wanawaona kama wanaipenda zaidi) KUMBUKENI SERIKALI HAINA DINI WALA DHEHEBU.tutakujakuikosa JF hivihivi.
 
Kaa wambwa mgalatia eehh....aiseee hata mtangulizi wake Maa ge Mbeee....
Sasa hawa wanawake malaya uliwafahamia wapi Ustaadh? Au ndo yale yale mambo yenu? Wanne na Masuria kadha na yeyote atakayependwa na uncle Muddy. Halafu tunazungumzia maswala ya Tanzania picha za wazungu ulizoweka hazihusiani...bado natafuta elimu (sio Ilim) ya ku upload sauti humu ndipo uupate ushahidi wangu kwa ufirauni mnaofanyiwa/fanyiana.

We endelea kuishi maisha ya kudhani!
Mwisho hizo dhana zitahamia kwa wazee wako upate laana!

Kiasi we unadhani dhani wenzako wanatafuna wana kondoo huku!

Hebu gonga hapa umuone huyu jamaa anaefanana na mungu wako alivyowafanya watoto wa kondoo wa bwana.

http://m.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/02/140224_kasisi_ulawiti
 
Hivi huu ufaulu wa hali hii kwa wanafunzi wa SEMINARY SCHOOLS za kina ST..unamaanisha wapo very intelligent au wana ma'agent NECTA?

Hakuna agent wa NECTA wala nn, wanaandaa wanafunzi wao vizuri je wajua ktk shule hizi wanafunzi wanaotegemea

kufanya mtihani wa kidato cha VI walishamaliza sillabus yao toka mwaka jana mwezi wa nane, na sasa wanafanya revision.
 
Nimekuona mjinga ulipo sema shule za kikristo zilikuwa zinaendeshwa kwa kodi za wananchi.
mkuu nisaidie, hivi kipindi cha ukoloni shule kama pugu, minaki, old moshi, mazengo et al zilikuwa zikiendeshwa kwa garama za nani?
je, serikali ya kikoloni ilikuwa haikusanyi kodi kutoka kwa wananchi?
Je, sio kweli kuwa suala la kutoa elimu ambalo lilikuwa ni wajibu waserikali lliliachwa kwa kanisa?
mimi nimekutajia shule la kanisa kipindi cha ukoloni, hebu nitajie shule za serikali kipindi cha ukoloni unazozifahamu, ukiacha galanos-tanga.
baada ya kujibu maswali hayo then jipime kuhusu ujinga ulionihusisha nao.
 
Ah mkuu unaharibu sasa, Usitoke nje ya mada!

Kuna watu wanaojiita watumishi wa yesu ambao wanashabikia namna kanisa katoloki linavyoandamwa na kashfa za kunajisi watoto ndio wanaosababisha nitoke nje ya mada!.
Hivyo ni vitendo vya kupigwa vita na kila mtu!
 
Kuna watu wanaojiita watumishi wa yesu ambao wanashabikia namna kanisa katoloki linavyoandamwa na kashfa za kunajisi watoto ndio wanaosababisha nitoke nje ya mada!.
Hivyo ni vitendo vya kupigwa vita na kila mtu!

Pole sana tafadhari rudi kwenye mada,kwa kweli ni jambo la kujiuliza kwa vipi shule za Kanisa kwa sehemu kubwa ndio zina viwango bora vya ufaulu hapa nchini?Kuna kitu cha kujifunza,tuache ubishi.
 
Pole sana tafadhari rudi kwenye mada,kwa kweli ni jambo la kujiuliza kwa vipi shule za Kanisa kwa sehemu kubwa ndio zina viwango bora vya ufaulu hapa nchini?Kuna kitu cha kujifunza,tuache ubishi.

Tulicho jifunza mpaka sasa ni kuwa waliberali wengi wanatokea huko!
Thats all!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom