Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shuke za ukanda uke hata sasa zimefanya vizuri.Kunamtt wa mdogo wangu kapiga 12.points pale Nyamirembe sec sechoolHaya mambo tunayaanzaga wenyewe, halafu wahusika ‘wakifix’ tuanze kulalamika kama enzi zile Chato kuwa kinara.
😆😆😆Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .
Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda
Happy birthday mama
USSRView attachment 2886197
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Kwani Magufi alifanya kufuru gani? Ni shule gani haikustahili kufaulu? Kwani ufaulu kipindi kile waliongoza chato au kanda ya ziwa? Sasa hivi si hawatangaziji tuna hakika gani hawaongozi au wanakuwa wa mwisho!..anaweza ku-fix hilo tatizo lakini sio kufanya kufuru kama alivyokuwa akifanya Magufuli.
..lakini ni aibu kwa shule hiyo kuwa na matokeo mabaya wakati Samia amekuwa kwenye uongozi muda mrefu.
..hapo ndipo utakapojua kwamba viongozi wetu hawana uchungu na wananchi wao.
Kwani Magufi alifanya kufuru gani? Ni shule gani haikustahili kufaulu? Kwani ufaulu kipindi kile waliongoza chato au kanda ya ziwa? Sasa hivi si hawatangaziji tuna hakika gani hawaongozi au wanakuwa wa mwisho!
Mimi najua kuwa kwenye matokeo vinara lazima wawe mikoa ya
Kanda ya nyanda za juuu,ya ziwa na kaskazini ..hiyo ni must
Ukweli usemwe zanzibar mwaka huu wamejitahidi sana kuna shule zina matokeo mazuri hadi unaweza kudhani wamewapendelea! Kwenye swala la kusoma Wazanzibar si kipaumbele kabisa..labda uvuvi…Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .
Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda
Happy birthday mama
USSRView attachment 2886197
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Sasa hili nalo ni jambo la dhambi? Hivi na wale wanaotaka kuanzisha Campus ya Udom iringa wakati Udom pale majengo ni matupu mengi 😂😂😂..Magufuli alitaka kujenga Chuo Kikuu Chato.😳
Hata shule za serikali wanachuja darasa la nne na form two.Matokeo haya ni kwa sababu ya kulazimisha wanafunzi wote wasome hadi kidato cha 4 bila kujali uwezo. Hata bara asilimia kubwa ya shule za serikali matokeo yanafanana na ya Kizimkazi.
Ukiangalia Lumumba na Fidel Castro utaona matokeo mazuri. Shule hizi wana mchujo kama wafanyavyo akina Feza, Marian na kadhalika.
Zanzibar ni sehemu ya TanzaniaSio TO angekuwa ZO
Hakika sanaUkweli usemwe zanzibar mwaka huu wamejitahidi sana kuna shule zina matokeo mazuri hadi unaweza kudhani wamewapendelea! Kwenye swala la kusoma Wazanzibar si kipaumbele kabisa..labda uvuvi…
Nina kuhakikishia kabla Mama hajamaliza kipindi chake Zanzibar itakuwa na baraza lake la mtihani ..maana wameweka mzanzibari pale NECTA lakini mambo ni magumu sana!
Kwa Zenji unawezakuta hii shule ni ya kwanza Kimkoa, Ole Sendeka angesoma Zenji angekuwa TO
Ndio iko sahihiMbona wamefaulu wote..