Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSRView attachment 2886197

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Mkuu kwani hukusikia historia yake ya school?
 
Hata Tabora school mwaka huu hakuna 1 😆😆😆
Hapana mzee; umenidanganya. Nimepekua Tabora school na kukuta hivi

1706465389146.png
 
..anaweza ku-fix hilo tatizo lakini sio kufanya kufuru kama alivyokuwa akifanya Magufuli.

..lakini ni aibu kwa shule hiyo kuwa na matokeo mabaya wakati Samia amekuwa kwenye uongozi muda mrefu.

..hapo ndipo utakapojua kwamba viongozi wetu hawana uchungu na wananchi wao.
Kwenye kupika data yule Mwovu alikua balaa.

Cha ajabu uongo wake hadi yeye binafsi alianza kuuamini.

2020 walipika data hadi kuzi control wakashindwa kitokeo chake hamna namba halisi za kura za urais hadi leo.
 
Duh, tangu enzi zenu mpaka leo shule inatisha.
Nilikuwa wa kwanza kupata 1 pale TS na kuvunja mwiko wa kutawaliwa na Kibaha. Tangu nipate 1 ya kwanza TS hakuna mwaka ambao TS imewahi kutoka bila kuwa na 1 tena.
 
Nilikuwa wa kwanza kupata 1 pale TS na kuvunja mwiko wa kutawaliwa na Kibaha. Tangu nipate 1 ya kwanza TS hakuna mwaka ambao TS imewahi kutoka bila kuwa na 1 tena.
Nafahamu mkuu. Na moto ule ulipanda nao hadi mlimani.
 
Hiyo shule ufaulu umeongezeka Toka mtani wangu Raisi Samia awe Raisi kabla ilikuwa hatari bin danger wakifeli Hadi basi

Mama kajitahidi sana kuongeza kupandisha ufaulu wa Kizimkazi secondary

Wazazi na mliosoma Kizimkazi secondary semeni Mama Samia Hoyeee kaboresha elimu Kizimkazi Secondary

Mama Samia Hoyeee
Mama anaupiga mwingi Kizimkazi secondary apewe maua yake
 
Tabora School huwa haikosi 1 kwa zaidi ya miaka 40 sasa. Kama mwaka huu hawakupata 1 basi ni njama fulani zimefanyika
Tabora boys ni shule ya vipaji maalumu leadership school ukiingia Tabora boys sio lelemama shule zote vipaji maalumu waweza enda ila kwenda Tabora boys unatakiwa kuwa na akili hasa sio utani sababu ni leadership school

Selection ya mtoto kujiunga na Tabora boys sio ya kitoto
 
Tabora boys ni shule ya vipaji maalumu leadership school ukiingia Tabora boys sio lelemama shule zote vipaji maalumu waweza enda ila kwenda Tabora boys unatakiwa kuwa na akili hasa sio utani sababu ni leadership school
Tabora School, Shule ya Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom