Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSRView attachment 2886197

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu hapo hayo ni matokeo ya Kupikwa ili Kumridhisha ila huko hakuna mwenye Akili.
 
Alipata IV ya 29
Aliyepata iv 29 ana mtiririko wa maisha unaoeleweka tangu mwanzo hadi sasa huku nyie mliopata I.7 mpo humu mnapiga umbea tu na majungu huku mioyo ikiwa imetawal8wa na chuki balaa. Kimsingi kufaulu na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
 
[emoji1787] [emoji1787] Akikupa jibu nitag Mkuu
div zinzsaidia nini kwenye life ishapita hio kuna mtu alipata ziro sa hiii ama mabiloni na aliyepata point 7 anauza vitabu
 
Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSRView attachment 2886197

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
😆😆😆🤪🤪🤪 Kiximkazi Dimbani 😁😁😁😁
 
Kuna siku wataficha matokeo yote au hizo Div ni siri itakuwa...kumbuka zile nafasi za ufaulu ? Zilitolewa sababu hiyo mchambawima....huwa za mwishonmilele kila mara
 
Ukisema hivi una maana sasa Mh Rais aache kushughulika na mambo ya Tanzania ashughulike na Kizimkazi? Sio sawa, na hauoneshi ukomavu wa akili kwa mleta uzi!
Hapa anataka kusema vilaza wanaosoma hiyo shule wapasihwe kwakuwa yeye alisoma hapo...
 
Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSRView attachment 2886197

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Kuna nyakati mtakuta mpo serious kujadili matokeo na ni kwa namna gani ifanyike wanafunzi wafaulu, Afu kuna kiande mmoja anakuja kusema dini fulani hivi inafelishwa na baraza
 
kwa viwango vya kiserikali hio shule hakuna aliyetaga so ufaulu ni 100%
pongezi kwao
 
Tangu lini waswahili walibebwa wakabebeka?

Wanachojua ni ndoa na kuchezwa ngoma tu
 
Aliyepata iv 29 ana mtiririko wa maisha unaoeleweka tangu mwanzo hadi sasa huku nyie mliopata I.7 mpo humu mnapiga umbea tu na majungu huku mioyo ikiwa imetawal8wa na chuki balaa. Kimsingi kufaulu na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
Mbona povu jingi mtu kataja matokeo take tu
 
Back
Top Bottom