Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
we huoni hata aina ya tunavyoongozwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye alipata Division Gani Form four?Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .
Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda
Happy birthday mama
USSRView attachment 2886197
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Nilikuwa moja ya shule za hapo mjini Tabora nikiwa mbele yako mwaka mmoja.Basi unatisha
Tabu kabisa! Utanipandisha presha. Ulikuwa wapi: Uyui, Kazima au Milambo. Rafiki yangu mmoja aliyekuwa Milambo wakati huo alishafariki akiwa hakimu Mkazi ila alikuwa na potential ya kuwa jaji. Marafiki zangu wa Kazima na Uyui walikuwa na wa kupiga starehe zaidi ya shule.Nilikuwa moja ya shule za hapo mjini Tabora nikiwa mbele yako mwaka mmoja.
Ulijua ni ngumbaru?Kumbe Mama SAMIA alisoma kizimkazi sec.. sikujua km amewahi kusoma mpaka secondary
Nilikuwa Uyui kwa bwana Patel.Tabu kabisa! Utanipandisha presha. Ulikuwa wapi: Uyui, Kazima au Milambo. Rafiki yangu mmoja aliyekuwa Milambo wakati huo alishafariki akiwa hakimu Mkazi ila alikuwa na potential ya kuwa jaji. Marafiki zangu wa Kazima na Uyui walikuwa na wa kupiga starehe zaidi ya shule.
Viongozi waliotoka Tabora boys ni kama wakina nani?Tabora boys ni shule ya vipaji maalumu leadership school ukiingia Tabora boys sio lelemama shule zote vipaji maalumu waweza enda ila kwenda Tabora boys unatakiwa kuwa na akili hasa sio utani sababu ni leadership school
Selection ya mtoto kujiunga na Tabora boys sio ya kitoto
Julius K Nyerere, Rashid M. Kawawa, Charles Makongoro Nyerere, Jenerali Ulimwengu, Lt Gen Yakubu Mohammed. ........Viongozi waliotoka Tabora boys ni kama wakina nani?
Kuna mwanangu mzenji tulikua mishe mishe akaniomba niangalie matokeo ya mwanae huko Zenji salaleee dogo kala mswaki full ziro ziro hana hata d moja cha ajabu yule jamaa wala hakustuka sanaa akaendelea tu na mambo yakeKwa Zenji unawezakuta hii shule ni ya kwanza Kimkoa, Ole Sendeka angesoma Zenji angekuwa TO
Very honest [emoji122][emoji122][emoji122]nimependa hope muendelezo wa hii clip una maana kubwa zaidi kwa wale wanaodhani hawawezi kutimiza ndoto zaoView attachment 2886244
Msikie hapo utajua na yeye alipata ngapi hiyo 1978.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya mambo tunayaanzaga wenyewe, halafu wahusika ‘wakifix’ tuanze kulalamika kama enzi zile Chato kuwa kinara.
Kuku weweKwa Zenji unawezakuta hii shule ni ya kwanza Kimkoa, Ole Sendeka angesoma Zenji angekuwa TO
Wewe mwehu kusoma zanzibar sio kipaumbele lkn rais mwanamke muislam anatoka Zanzibar tena kijijini anaongoza mipofesa. Kweli wabongo hawawapendi zanzibar kwa sababu imani yao tu
Madrasa ni chuo na yeye kasoma huko so mama SAMIA ni kichwaUlijua ni ngumbaru?
Uchungu kila mtu awe nao kwa familia yake...anaweza ku-fix hilo tatizo lakini sio kufanya kufuru kama alivyokuwa akifanya Magufuli.
..lakini ni aibu kwa shule hiyo kuwa na matokeo mabaya wakati Samia amekuwa kwenye uongozi muda mrefu.
..hapo ndipo utakapojua kwamba viongozi wetu hawana uchungu na wananchi wao.
Uchungu kila mtu awe nao kwa familia yake.
Kama unasubiri mwanasiasa ajali familia yako utasubiri mpaka kiama.
Unatutisha siyo?Haya mambo tunayaanzaga wenyewe, halafu wahusika ‘wakifix’ tuanze kulalamika kama enzi zile Chato kuwa kinara.