Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

Haijalishi alipata ngapi au alipata nini, ila saa hii ndio kiongozi wenu nyote nyiee, mnaompenda na msiompenda

Na kama akiamua mlale saa kumi jioni basi nyote mtatii

Sema Mama ni mwema sana, yaani natamani aje kama yuleee baada yake ili awanyooshe nyie vidomo domo

%%$#&@*666😇😂🤣&$%$hnz
 
Haya mambo tunayaanzaga wenyewe, halafu wahusika ‘wakifix’ tuanze kulalamika kama enzi zile Chato kuwa kinara.
Shuke za ukanda uke hata sasa zimefanya vizuri.Kunamtt wa mdogo wangu kapiga 12.points pale Nyamirembe sec sechool
 
😆😆😆
 
Kwani Magufi alifanya kufuru gani? Ni shule gani haikustahili kufaulu? Kwani ufaulu kipindi kile waliongoza chato au kanda ya ziwa? Sasa hivi si hawatangaziji tuna hakika gani hawaongozi au wanakuwa wa mwisho!

Mimi najua kuwa kwenye matokeo vinara lazima wawe mikoa ya
Kanda ya nyanda za juuu,ya ziwa na kaskazini ..hiyo ni must
 
Tuombe uzima, mpaka 2027 Zanzibar itakuwa na shule 5 kati ya shule kumi bora Tanzania yote.
 

..Magufuli alitaka kujenga Chuo Kikuu Chato.😳
 
Ukweli usemwe zanzibar mwaka huu wamejitahidi sana kuna shule zina matokeo mazuri hadi unaweza kudhani wamewapendelea! Kwenye swala la kusoma Wazanzibar si kipaumbele kabisa..labda uvuvi…

Nina kuhakikishia kabla Mama hajamaliza kipindi chake Zanzibar itakuwa na baraza lake la mtihani ..maana wameweka mzanzibari pale NECTA lakini mambo ni magumu sana!
 
Kwa hiyo akili ya Mama ushungi inaakisi shule aliyosoma .
Hii nchi Kwa saša inaongozwa na mtu wa kiwango hicho cha elimu
 
Hata shule za serikali wanachuja darasa la nne na form two.
Kufaulu ni division 1 hadi 4 .Walofeli ni wale waliopata division ZERO.
 
Hakika sana

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…