Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

Rais Samia anajitahidi sana kufungua nchi yetu kwa kupeleka bidhaa nje ni hatua kubwa sana kibiashara na uchumi wa Tanzania utakua zaidi
Hapa kikao kinaendelea cha kufungua fursa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220819-104614.png
    Screenshot_20220819-104614.png
    129.7 KB · Views: 2
Kuna watu wanadhani kwamba labda China ndio trading partner mkubwa wa Afrika jambo ambalo sio sahihi..

EU ndio anaongoza kwa biashara na Aftrica na hata Kwenye uwekezaji Uingereza ndio top investor wa Tanzania 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220819-110217.png
    Screenshot_20220819-110217.png
    102 KB · Views: 2
Bidhaa gani sasa tz itapeleka huko uk?.bila shaka itakuwa dhahabu na wanyama hai ambao tutarudishiwa tena kama bidhaa zilizochakatwa na kuongezwa thamani ambazo tutauziwa tena kwa bei ya juu.Hakuna cha kufungua nchi wala nini bali ni kuuza nchi kwa uk kuleta bidhaa zake tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa hamkosekani..

Msome mh.Balozi hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220821-184140.png
    Screenshot_20220821-184140.png
    109.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom