Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Pole sana mzee shelukindo,naamini kijana ataendelea kukuheshimu na kama atapata kiti hicho cha ubunge basi udhoefu wa muda mrefu ulioupata miaka yote ya utumishi wako selikarini utasaidia kupeleka watu wa bumbuli mbele.

January kanifurahisha japo sikuwa napenda kusikia anguko la Shelukindo. Ni mfano wa kuigwa katika siasa za kistaarabu. check comment aliyopost kwenye page yake ya facebook! Amesisitiza kuwaheshimu hawa wazee. Ametambua kuwa katika muda wao walililitumikia Taifa japo sasa inabidi wapokezane vijiti.
 
Nasikia Rostam kapita khaaaaaaaaaaaaaaaaaa,ivi waliompigia wanamjua?Au kulikuwa na mapandizi?
Naona nabii amekubalika kwao,uchelewi kukuta ata Chenge kapita
 
kwa ccm Karamagi..chenge Rostam.....Edo.....Sofia Simba kupita sio ajabu..hiyo ndo ccm ya wajinga ndo waliwao
 
mwang'onda amedondoshwa vibaya na mpesya........kweli mbeya si watu wa kuwawekea vibaraka!!

Hongereni watu wa mbeya, tunawaomba kura za urais mpeni dr. Slaa!!
ndio maana tunaitwa banyambala kuanzia enzi za baba zetu sisi ni wamoja bana,hata aboud jumbe alikiona cha motto mbele ya baba zetu alipotaka kuwachezea ,kwa wale wana kyela natumaini mnamkumbuka kipofu wa mkoa aliyukuwa msomaji maarufu wa mashairi alivyompasha aboud jumbe kupitia shairi la wanakyela ,hata mkulu julius enzi hizo alipotaka kuleta mchezo wazee wa time hiyo wakamwambia hata malawi ni nyumbani wapo jamaa zetu wa ngonde kwa hiyo tutaifanya mbeya iwe mkoa wa malawi,julius hakuamini masikio yake na hata sisi watoto wao nasi tumerithi anzia kwa mwakyembe ,mwandosya akina mzee ngonya hawo hawadanganyiki
 
Muwe munaandika habari iliyokamilika jamani! 'Baada ya kuhakikisha kuwa vijana wake wamepita kwenye kura za maoni' ndio nini?? taja basi angalau majina matatu basi tujue hao vijana wake waliopita ni kina nani ili twende sambamba na habari husika, au??
 
Hii ni vita. Kila kambi lazima ipate majonzi ya kupoteza makamanda na vifaa vya mapigano. Ukisema vijana wake wameshinda ukumbuke pia na wapinzani wake tumeshinda pia. Mfano Karamagi kamwagwa kama ilivyotokea kwa Seleli
 
na LONDA NAE KAPITA JAMANI BEDUI YULE??
 
Mwakyusa kambwaga Kasesela ambaye kwa sasa analalamika baada ya matokeo (kazidiwa takribani kura 1,000 hivi)

Tom Mwang'onda (Mbeya Mjini) kabwagwa na Mpesya

Monica Mbega kabwagwa na Mwakalebela

Makweta, Mwalyosi na Mungai wameangukia pua (wamechemsha)
 
Mwakyusa kambwaga Kasesela ambaye kwa sasa analalamika baada ya matokeo (kazidiwa takribani kura 1,000 hivi)

Tom Mwang'onda (Mbeya Mjini) kabwagwa na Mpesya

Monica Mbega kabwagwa na Mwakalebela

Safi sana hapo kwenye red. Sasa Mwakipesile ahamie Arusha maana Mbeya watamzomea sana! Mbeya Go ,Go Go!
 
Mi-nchi mingine bwana... ati hakuna database ya kupata matokeo kama haya kwa urahisi mpaka upitie post kibao...
 
ndio maana tunaitwa banyambala kuanzia enzi za baba zetu sisi ni wamoja bana,hata aboud jumbe alikiona cha motto mbele ya baba zetu alipotaka kuwachezea ,kwa wale wana kyela natumaini mnamkumbuka kipofu wa mkoa aliyukuwa msomaji maarufu wa mashairi alivyompasha aboud jumbe kupitia shairi la wanakyela ,hata mkulu julius enzi hizo alipotaka kuleta mchezo wazee wa time hiyo wakamwambia hata malawi ni nyumbani wapo jamaa zetu wa ngonde kwa hiyo tutaifanya mbeya iwe mkoa wa malawi,julius hakuamini masikio yake na hata sisi watoto wao nasi tumerithi anzia kwa mwakyembe ,mwandosya akina mzee ngonya hawo hawadanganyiki

TUNTUFYE, TUMPALE KYALA! Wote mamluki kwishnei! wachape mwendo wahamie kwingine. Vipi Mwakipesile hajaanguka kwa Presha? Kibaraka sana yule babu utafikiri si mtu wa Kyela! Lo! Kawekwa mfukoni na akina Mulla wa Igurusi hatta amepoteza Utu!
 
vipi mzee wa crdb mgana izumbe msindai iramba mashariki ??
 
Ndo alianzisha kuita wenzake vuvuzela utadhani kondakta wa daladala. na mara ya mwisho nimemsikia akichangia mjadala wa sheria utadhani anasoma mashairi. OUT!

Sijui kama Mungu atasikia ombi langu la kumuondoa Sita? Ndo kundi linalopigania maisha bora ya wabunge badala ya wananchi. Akipita basi, lakini nitamuombea Lowasa achukuwe kiti cha spika.
 
Back
Top Bottom