Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

karume anaogopa jela tu, kaona kila dalili cuf wanao huwezo mkubwa kuchukua nchi, la kufanya kajoin nao, mali za huyo mkewe karume unguja azisemeki,kila ufukwe mzuri hotel nzuri unayoisikia unguja kuna mkono wa karume, hakuna mafuta wa sijui kuvunja muungano ni jela imemtisha
 
Makamba si Fisadi tu!!
 
I think is the real opposition leader of his kind, one or two like him we may have in bara.But in this world anything is possible.

when stomach is not a function of personality anything is uncertain
 


hawa wapiga picha bwana mtu mzima unaweza kushtuka
 

kiongozi nafarijika kwa hazina ya kumbukumbu iliyopo hapa JF..mambo haya ni mazito na ni hazina kwa kizazi kijacho..ntaku PM nikupe complement.wife kafurahi sana kwa shairi hili maana yeye ni CUF damuuuuuuu
 
Unajuwa kubishana na Mohamed Seif Khatib 'Msakatonge',ni kupoteza muda bure huyo wazanzibar wengi tunamjuwa kuwa ni kibaraka wa SMT na msaliti wa Wazanzibari...hatuumizi kichwa.
 
Yaa Rabi mpe wafuweni seif khatibu ,since he stop taking his Medication hali imekuwa sio yakwaida na hairidhishi .
 
Self Khatibu ni kat na viongozi wanaofikiria kwa kutumia emotional na si akili
 
Well, kama asemavyo sii kweli inabidi mthibitishe Ukichaa wake..
 
ndio cuf lazima washwrehekee zaidi kwani wao hawajui kitu chochote na wala hawakutegemea kuwa seif na amani watakutana wao wamestukia tu kwenye magazeti kwa hiyo ni lazima wasisherehekee kwani lengo lao halijafanikiwa walivyo taka wao karume na seif wasikutane sasa wao bado ccm wanajiuliza ilikuwaje wawili hawa wamekutana kwani lilikuwa sio jambo la ghafla tu lazima lilikuwa limepangwa muda mrefu na wao ccm hawakujua ni hilo tu
 
hatutafanya makosa kama yale ya 2000 ya kuchaguliwa viongozi na wabara.

Saif Khatibu hana nafasi zanzibar.
 
hatutafanya makosa kama yale ya 2000 ya kuchaguliwa viongozi na wabara.

Saif Khatibu hana nafasi zanzibar.
Wewe na nani? wenye kutaka vyeo hurekebisha njia kwanza bara zanziba wanaenda kumalizia kusafari..ukishajua wapi kuanzia safari ni rahisi kujua wapi kumalizia..
 
Hapa kuna maswali mengi kuliko majibu! Ingekuwa ni vema aliyetambuliwa (Karume) afurahi zaidi, maana yeye hakukataa kutambuliwa tangu mwanzo, kuliko aliyemtambua (Seif)! Lakini imekuwa ni kinyume, there must be something bigger, in favour of CUF, than just simple recognition of the President "for the benefit of all Zanzibaris!"
 
Nyie wazanzibari mnajidanganya tu; mkibakia peke yenu bila sisi wabara mtachinjana kama kuku wa kienyeji!! Huyo mtoto wa Sultani anawachanganya tu.
 
Unajuwa kubishana na Mohamed Seif Khatib 'Msakatonge',ni kupoteza muda bure huyo wazanzibar wengi tunamjuwa kuwa ni kibaraka wa SMT na msaliti wa Wazanzibari...hatuumizi kichwa.

Nenda zako wewe upemba utakuua ukipewa dozi yako unafuka kama joka kifutu! Seif hana jipya uroho wa madaraka ndo unampeleka puta yeye alisimamia hayo yote kutendeka na iwaje leo hii awe mkali wa urasimu wake! huu twaita kuunyea mkono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…