Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

Binadamu hatukosi baya... Hata kama namba zingewekwa tungesema marks ziwekwe, hata kama marks zingewekwa tungesema tungerudishiwa na mitihani Ili tujiridhishe wenyewe, hata kama tungerudishiwa tungesema itolewe na marking scheme iliyotumika kusahihisha, na hata kama vyote vingefanyika tungesema mbona wameita watu wachache sana.... My point is "Let's not somebody blaming others for their faulty life, and am sure they will enjoy life just like everybody else"
 
Vi memo
 
Hivi watahiniwa 20000+ kwa nafasi 350 mnataka kila mtu aitwe?? Malalamiko mengine hayana umuhimu kabisa. Mngeitwa nyie bado watu wangekuja kulalamika tena hapa hapa.
Wanacholalamikia sio kwamba hawajaitwa, bali namna results zimerudi. Miaka ya nyuma yote results zilikuwa zinarudi na marks za watahiniwa wote, na cut off point inawekwa wazi. This time, imekuwa opposite.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi nilitoaga 600,000 kupata kazi serikalini, saizi nakula mema ya Nchi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Toa pesa, upate pesa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Broh ambacho huoni ni kwamba, kwenye mtihan wa mchujo ilibidi waitwe wengi sana. Na hata kwenye oral, wameondolewa wengi sana regardless vigezo gani vimetumika. Kwenye hiyo oral, hawawezi itwa cream peke yake, pia wapo walioitwa ili kukamilisha idadi. Matokeo ya oral ndio yanakuwa determined na connection aliyonayo mtu.

Wait results za oral then njoo utwambie kuhusu huyo dogo.
 
Ndiyo maana nimesema I really wish kila kitu kiwe fair dogo apenye kwa haki. Mine is just a well wish for fair process.
 
Naona walioingizwa na wazee wao wanakuja kujitetea humu kwa design nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…