Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Ulitoboa kivipi mkuu?Mungu anasema mali na vyote vijazavyo Nchi ni mali yangu na anasema nijarubuni kwa matoleo yenu muone kama sitawanyeshea mvua ya Baraka. Mungu hajawahi kuniacha hata katikati ya simba wakali mimi nikiwa kondoo nilitoboa...Asante Yesu