Matokeo ya mifumo mibovu ya Africa ,Kila muafrica anataka kufika Ulaya na Marekani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia.

Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24.

Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?.

Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri.

Tegemeo lilikuwa south africa.Hii idadi ya kukimbilia huko itafikia mpaka kwenye usafiri wa anga wenye uwezo wao.
 
Waafrika wengi hawajui kuwa nchi zao ni entities za syndicate nzito kutoka mamlaka zenye nguvu duniani.
 
Hizo ni porojo tu, Africa tatizo kubwa ni uongozi mbovu na duni.
HAuwezi elewa dogo maana uwezo wako umeishia katika circle ndogo ulio comfortable nayo.

Keep enjoyin
 
Toka hapa, huna siku yoyote ya maana zaidi ya wala mihogo tu.
 
Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia.

Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24.

Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?.

Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri.

Tegemeo lilikuwa south africa.Hii idadi ya kukimbilia huko itafikia mpaka kwenye usafiri wa anga wenye uwezo wao.
Ata mie nakubaliana nao to wurope or we drawn...nani anataka kubakia huku m.kun.duni mwa dunia. Giza totoro
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom