Hizo ni porojo tu, Africa tatizo kubwa ni uongozi mbovu na duni.Waafrika wengi hawajui kuwa nchi zao ni entities za syndicate nzito kutoka mamlaka zenye nguvu duniani.
Uongozi mbovu na watu wabovuHizo ni porojo tu, Africa tatizo kubwa ni uongozi mbovu na duni.
HAuwezi elewa dogo maana uwezo wako umeishia katika circle ndogo ulio comfortable nayo.Hizo ni porojo tu, Africa tatizo kubwa ni uongozi mbovu na duni.
Toka hapa, huna siku yoyote ya maana zaidi ya wala mihogo tu.HAuwezi elewa dogo maana uwezo wako umeishia katika circle ndogo ulio comfortable nayo.
Keep enjoyin
Ata mie nakubaliana nao to wurope or we drawn...nani anataka kubakia huku m.kun.duni mwa dunia. Giza totoroMi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia.
Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24.
Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?.
Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri.
Tegemeo lilikuwa south africa.Hii idadi ya kukimbilia huko itafikia mpaka kwenye usafiri wa anga wenye uwezo wao.