Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja na kuwa Vyeti vyake vyote alivyo ambatanisha vina picha.
Na kwa upande wa MOI kujibiwa kupitia mfumo wa maombi kuwa anasifa ila amekosa kwa kuwa hajaomba kupitia mfumo wa maombi?
Kwa maana nyingine; Alikosa nafasi muhimbili, na pia Akakosa nafasi MOI kwa sabau hizo hapo juu

- Naamini tukichukua miaka mitatu hivi utafute wenye GPA ya 4.7 to 4.9 wapo wachache sana
- Tusipo kuwa makini hapa ndio chanzo kinachopelekea wagonja kupasuliwa kichwa badala ya mguu au Pengine kusahau vifaa ndani wakati wa Surgery, kwa kutokuchukua watu wenye pass za juu (outstanding) kwa sababu vidogo vidogo visivyokuwa na mahusiano ya moja kwa moja na kazi husika