Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ameshaliaibisha taifa, na majaji wote wa kibongo wameonekana hamnazo kwa maamuzi ya kipumbavu namna ile.Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu
Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii
Mbona naye kakaa , tena kakalishwa kibwege sana !Kidunda amepigwa ila ameshinda kwa kuwa alimkalisha chini mpinzani wake
Miaka karibu 50 kwanini mnataka aendelee kudhalilika ?Astafishwe kinguvu??
Aibu naona mimi yaani !Sele kababuliwa vibaya sana. Huyu dogo Skudu wamuache hapa Bongo ataua mtu
hivi yale machill souce hujayaona ?Ni draw ile nyie acheni ujinga
Jifunzeni kwanza point katika mchezo wa Ngumi zinapatikana vipi, bondia kutoka damu, kuvimba ata kung'olewa Jino hakumfanyi apoteze pambano.hivi yale machill souce hujayaona ?
Matokeo hakuna mshindi umeangalia mgumi zipi mkuu then kidunda kaenda chini mara mbili kama mwenzakeKidunda amepigwa ila ameshinda kwa kuwa alimkalisha chini mpinzani wake
sasa pale Kidunda kascore kitu gani ? yaani umeandika kizungu ili utupige fix siyo ?Jifunzeni kwanza point katika mchezo wa Ngumi zinapatikana vipi, bondia kutoka damu, kuvimba ata kung'olewa Jino hakumfanyi apoteze pambano.
Score Card ndiyo inayo mpa bondia ushindi.
Sizungumzii kwenda Chini Huko, unaenda Chini kisha wanakuhesabiaMatokeo hakuna mshindi umeangalia mgumi zipi mkuu then kidunda kaenda chini mara mbili kama mwenzake
Mpwa ukiangushwa chini na kuhesabiwa.Mbona naye kakaa , tena kakalishwa kibwege sana !
Wenyewe wanaita 'unanimous decision' (UD)Kidunda amepigwa ila ameshinda kwa kuwa alimkalisha chini mpinzani wake