Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka , si kwa kipondo kileKwani kidunda ni CCM?
Aibu sanaMabondia wetu ndo maana wakitoka kwenda kupigana nnje wanapigwa KO maana kule hakuna janja janja ya malefa wa mchongo dogo namshaulu wakitaka kuludiana asije bongo tena maana bongo nyoso
Maombi Yangu yamejibiwa, yako yamekwamaSimba limkute la kumkuta leo ili tuheshimiane
Sawa mkuuMaombi Yangu yamejibiwa, yako yamekwama
Una tatizo kichwani wewe kuna popote katika bandiko lake ametaja CCM au unajihisi?Kwani kidunda ni CCM?
Kesho kwaya zote zitavaa nguo nyekundu na Nyeupe kusherehekea USHINDI huuSawa mkuu
Kesho kwaya zote zitavaa nguo nyekundu na Nyeupe kusherehekea USHINDI huuSawa mkuu
Miaka karibu 50 kwanini mnataka aendelee kudhalilika ?
Mnataka afie ulingoni ?Hakuna taratibu za mtu kustafishwa kibabe
Atastaafu kwa mijibu wa Taratibu za kazi