Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Jamani tupo mbali na nchi tunaomba matokeo mtakayo yaweka yawe ya kweli,kwani ndicho chombo pekee tukitumiacho kwa sasa kupata matokeo
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
Segerea vituo vyote ambavyo tumehesabu dr wa ukweli anaongoza na mbunge wanafukuzana na mahanga.
 
Huu ni mwazo mzuri. Kwa dar thithiemu wataongoza oyesterbay kwa mafisadi ila kwingine sahau!
 
weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Saw some news on CH10 kuwa CCM wanaongoza Buruguru na Tabata??
 

...nec wanashangaza walesema watu 20 million walijiandikisha....lakini je ni kweli nusu ya watanzania wote wana miaka 18 kwenda juu....kwa turn out ilivyo ni wazi mahesabu ya NEC Kuna kitu yameficha ambacho CCM wanaweza wakakitumia kwenye majumuisho!!

By the way jamaa aananipa taarifa za uhakika kuwa vituo vingi jimbo la ubungo wanaongoza CHADEMA upande wa ubunge na urais,....na sehemu nyyingi na madiwani pia!
 
Mwana wasomi juuuuuuuuuuuuuuu,piga chini fisadiiiiiizi
ahsante mkuuuuuuuuuuuu
mapinduziiiii daimaaaaaaa
 
Ahsanteni wasomi sauti yenu imesikika! Hata wakichomoa watajua wasomi wako busy na nchi yao


Vipi chuo cha kata Dodoma (UDOM) bado?
 
Hapa hakuna ubishi...tulijua tuu ..ndo maana wakafunga chuo manake aibu ingewakuta

Tumefanya makosa sana kukubali students kutopiga kura. Yaani hata tungewaomba wahisani pesa ya kuwapa wanafunzi wabaki wapige kura wangekataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…