engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Jamani tupo mbali na nchi tunaomba matokeo mtakayo yaweka yawe ya kweli,kwani ndicho chombo pekee tukitumiacho kwa sasa kupata matokeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Wapiga kura 147

Urais

CCM -72,

CHADEMA - 71,

CUF - 3,

NRA, TLP & APPT - 0.

Uubunge

CCM - 60,

CHADEMA - 72,

CUF - 8,

NCCR - 0,

TLP - 1.

Diwani

CCM - 64,

CHADEM - 64,

CUF - 19
Najuwa Dr slb ndio Rais wetu.
Sasa hivi nia ni kubana sio kushinda?
Hizi turn out ndogo ni balaa kwa slaa maana wakati wa kujumlisha ni kumwongezea JK idadi ambayo haikupiga kura simple!
Kwa nini ndogo?
Watu wamekata tamaa na JK
Wengine wanajua ccm mabingwa wa kuchakachua so votes wont count
Nasikia sehemu nyingine wanaume wamejua udhaifu wa kiumbe jike na kupiga ribiti..so simple!
Slaa - 454, Mnyika - 473
JK - 71 , Hawa - 45
Asante sana vijana wetu, hongera sana mmeshiriki kuikomboa nchi yetu.Slaa - 454, Mnyika - 473
JK - 71 , Hawa - 45
Hapa hakuna ubishi...tulijua tuu ..ndo maana wakafunga chuo manake aibu ingewakuta