Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Inapendeza kweli yaani na wanafunzi wangekuwa wamefungua naona tofauti ingekuwa kubwa zaidi..We need changes!!
 
kwa mnaosema juu turnout ndogo hapana, turn out ni kubwa
kituo kimoja kina max ya watu 500, kwa hiyo matokeo mengi ya awali ya vituo hayatakuwa na idadi kubwa ya watu
 
JK sasa anaelewa maana ya people's power............alibeba mafisadi sasa mafisadi wamemgharimu..angeliwatema angelinusuru ugali wake..........Hapa hakuna udini ila wananchi wamevalia njuga vita dhidi ya ufisadi tu na hakuna jingine............................
 
... sisi huku tulo mbali
Mko wapi? Mkandara leo lazima nikumalize.

Kelele zote za kujaza makurasa ya nadharia humu kila siku kumbe hata kura hupigi? Uko mbali? Aibu!

Inabidi uanze kuchangia majamvi ya chaguzi za CANADA!
 
MATOKEO YA KITUO CHANGU CHA UCHAGUZI

KURA ZA URAIS:

CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373

KURA ZA UBUNGE:

CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275

KURA ZA UDIWANI:

CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343

*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI
 
MATOKEO YA KITUO CHANGU CHA UCHAGUZI

KURA ZA URAIS:

CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373

KURA ZA UBUNGE:

CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275

KURA ZA UDIWANI:

CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343

*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI

akhasante sana sana najua kura yako haijaenda bure Mungu akutangulie katika kila jambo
 
Back
Top Bottom